Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,192
Asaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host.
Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake alichojaliwa na bila kupepesa macho majibu atakayotoa angalau Yatatufungua macho tujue ulozi, uganga, uchawi umekaa vipi.
Naomba mshiriki kwa kusoma tu. Narudi tena kwa kusoma tu hadi pale muda wa kuuliza maswali utakaporuhusiwa. Karibuni.