Yeah en am always happy nikiwa hivi kujichukia kunakuja pale napokutana na changamoto maybe ya relationship en kuna watu around you wako kwenye relationship ambayo wewe unaiona en they are happy together na unatamani ungekuwa na relationship kama hiyo!Changamoto zipo ndugu. Binafsi hizi zinazoitwa connection sinaga kabisa, yani mtu mpaka anivute yeye na kwa kupenda kwake. Ni kweli inacost sana sababu unashindwa hata mtu umuanzeje. Unaweza poteza fursa.
Kwenye relationship huko ndo kabisa maumivu maana ile kuwa attentive to detail na kutokuconnect na watu kirahisi inafanya mahusiano yawe magumu.
Habari njema ni kwamba HSPs are comfortable with who they are. Yani hata ile hali ya kutokuwa kwenye mahusiano unafurahia kwa kuwa unakuwa na muda mwingi wa kuwa peke yako, labda atokee mtu utakayeconnect naye, vinginevyo maisha ni murua.
Haihusiani na pesa bana. Ni genetic condition.huo utafiti naimani haujafanyika africa,najua ni hawa hawa wazungu,nadhan walifanya utafit huo kulingana na mazingira mixer utamaduni wao.sasa sisi kwakua tuna hizo elementi basi tunajiweka,
turudi hapa.kwann nmehusisha hili suala na hali ya maisha
kama huna pesa wala kazi rasmi huwezi kuacha kujichanganya maana pesa ipo mtaani,kwa mfano mtu unabeba mabox pale kariakoo au unatafuta wateja na kuwapeleka dukan,hiyo tabia itakutoka tu.au huna kitu hivyo itakulazimu tu uongee na watu.pia kwa mazingira ya kijijini hakuna umeme wala hizo movie huzijui,sijui utashinda mton au shamba
najua kuna hao watu waliobeba baazi ya element ila huwezi kuwaweka moja kwa moja na asilimia kubwa inategemeana na mazingira
Sipendagi hata mana sijui hujiona Niko tofauti sana most of the time hupendi kuwa pekee palipotulia hata mashosti ni vile tu inakuwa lazima.Unapenda kukaa na watu kwa muda mrefu? Mashosti labda au watu wa kazini?
Yup unatamani kuwa kwenye relationship lakini ukitazama around unaona hakuna mtu unaweza kuconnect naye.Yeah en am always happy nikiwa hivi kujichukia kunakuja pale napokutana na changamoto maybe ya relationship en kuna watu around you wako kwenye relationship ambayo wewe unaiona en they are happy together na unatamani ungekuwa na relationship kama hiyo!
HSPs are not compatible with social life. They enjoy being alone.
Wanaumia sana kuona mtu au mnyama anateseka coz wako emotional.
Mimi nikiona mtu anamchinja kuku naogopa maana naona ni ukatili uliopitiliza.
Mimi mashosti nimewatupilia mbali maana inakuwa inachosha sana. Nimebakia na shosti mmoja anayenielewa. Nikiwa emotional anajua, nikimwambia sitaki vurugu anajua pia, anakaa mbali na mimi.Sipendagi hata mana sijui hujiona Niko tofauti sana most of the time hupendi kuwa pekee palipotulia hata mashosti ni vile tu inakuwa lazima.
Really? HowKinda fitting in
Mimi mashosti nimewatupilia mbali maana inakuwa inachosha sana. Nimebakia na shosti mmoja anayenielewa. Nikiwa emotional anajua, nikimwambia sitaki vurugu anajua pia, anakaa mbali na mimi.
Nakula. Lakini asiwe ni kuku ninayemfahamu au nimemuona kabla hajachinjwa.Lakini nyama ya kuku unakula?
Hahahaha zimefika... Yup Inawezekana anamjua Ngabu.Msalimie sana huyo shosti wako.
Anamjua Ngabu?
Hahahaha zimefika... Yup Inawezekana anamjua Ngabu.
Ndo maana nikasema it has taken it's toll on me.Basi sawa...na hata kama hamjui Ngabu msalimie tu hivo hivo.
Ila Reina, hii hali nahisi kama inakusumbuaga na kukuathiri kwa kiasi flani eh?
Na je, unawafahamu watu wengine wenye hiyo hali?
Pole sana.Ndo maana nikasema it has taken it's toll on me.
Being an HSP sio rahisi. Ni personality ambayo unakuwa kama vile hufit kwenye jamii ya kawaida halafu unakuwa unajitahidi kufit in matokeo yake ni struggle ya ndani kwa ndani. Watu hawakuelewi nawe huwaelewi. It's frustrating.
Kwa mfano unasikia harufu fulani lkn kila mtu pembeni yako anakuambia hasikii,
Unasikia baridi wengine wote wanakuambia hawasikii.
Unaelezea jambo au unaangalia filamu unaanza kulia, mtu anakwambia hivi wewe una matatizo gani.
Unamwambia mtu siwezi kuwa na fulani kwa sababu si connect naye, unaambiwa umechanganyikiwa.
Hali ya watu kutokukuelewa inasumbua. Ndo maana unaamua kuconnect na wanyama, mimea (nature in it's totality), na muziki coz they are humble, they understand.....they don't get hard on me.
Bado siwafahamu watu wenye hali kama yangu ila najua wapo.

Asante.Pole sana.
Sasa umesema una connect na wanyama.
Wanyama gani unao connect nao vizuri? Nyoka? Mbwa? Sungura?
Nyani je? Nao una connect nao? Na Nyani si lazima wawe wale wa mwituni...hata JF Nyani yupo ujue
Huyu wa JF unaweza ku connect naye?