The Hidden Power of the Universal Laws

The Hidden Power of the Universal Laws

Tarehe 2/10/2023

Nasoma laws of the universe
Japo sio mara ya kwanza ila naona mwaka huu the universe has chose to manifest itself to me so that i can understand better how it works

Asante mleta mada #lifecoded
 
Tarehe 2/10/2023

Nasoma laws of the universe
Japo sio mara ya kwanza ila naona mwaka huu the universe has chose to manifest itself to me so that i can understand better how it works

Asante mleta mada #lifec
Ctrl+C
 
Another Universal Law of Life is that Life is Just a Coincidence [emoji117]Hii ni kwamba Maishani kila kitu kinatokea kwa bahati mbaya tu. Mfano Fikiria tu kwa tukio la Mpenzi Uliyenae hapo jinsi mlivokutana ni just coincidentally tu imetokea mkakutana hebu jiulize what if msingekutana? that means kwamba ungekuwa na mwingineo so chukulia pia scenario hii kwa matukio mengine mbali mbali ni hivyo hivyo (This is According to Myself and I)

Kingine nilichojifunza kwenye Maisha °Maishani kupata vitu viwili kwa wakati mmoja huwa ni rarely sana. Hii pia inaweza kuendana na ile ya kwamba Ili Upate kitu fulani lazima uweWilling kupoteza kitu kingine.
Kuna kaukweli flani hapa
 
Kuna kaukweli flani hapa
Kabisa Mkuu Ukichunguza Kwa Makini kabisa ndivyo ilivyo. Sasa kama mpenzi uliye nae tu ni coincidence, that means hata watoto utakao kuwa nao pia ni coincidence ina mana watarithi tabia zako na za huyo mama (sorry I mean genetic characters) so if were bad that means kwamba laiti ungekuwa na mwanamke mwingine the children wouldn't been like that 😂😂😂

The fact ni kwamba hata wewe kuzaliwa na wazazi wako leo hii ni coincidentally tu ungeweza kuzaliwa na wazazi wengine pia 😂

Haya chukulia mfano binti anatokea familia ya hali ya chini but imetokea tu baada ya kuona nyumbani maisha magumu sana kaenda mjini kufanya kazi za ndani punde si punde kapendwa na mtoto wa bosi ambaye familia yake ni Well financially,,.. Inamaana family ya huyo binti inaenda kuchange status kutoka kwenye umaskini na kuwa tajiri probably but if you look at it it's just came coincidentally tu right? 😂 😂 😂
 
Tarehe 2/10/2023

Nasoma laws of the universe
Japo sio mara ya kwanza ila naona mwaka huu the universe has chose to manifest itself to me so that i can understand better how it works

Asante mleta mada #lifecoded
Has chosen.
 
Back
Top Bottom