S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,616
- 32,723
Ukiwa unawaza mambo mambo
mabaya,ulimwengu[the universe] itakuletewa
mambo mabaya mpaka utasema umelogwa
,lakini sio kweli,,unachokifikilia kwa muda
mrefu ndo kinachotokea katika physical
reality.
Check hapo juu uniambie wapi mleta uzi kasema waza huku ukifanya kazi!
Naelewa kwamba ukiyaweka mawazo kwwnye vitendo yanaleta uhalisia.