The Hidden Power of the Universal Laws

Makhelaw magalou

Makhelaw walou fiya wfik

Makhelaw madarou

Wa kan7ebek wnmout 3lik

Makhelaw magalou

Makhelaw walou fiya wfik

Makhelaw madarou

Wa kan7ebek wnmout 3lik

Hizo ndo hidden law zenyewe
 
Uzi mzuri ila hauleti maana kwa haraka ni kama google imetafsiri. Kuna sehemu hazina connection kabisa inayoleta maana.
 
Mbona huu ni mwaka wa 7 nawaza utajiri wa Tsh millions 100+ na sijafikia hata millions 20+?

Nakuuliza sababu umesema yale tunayoyawaza sana lazima yatokee.
Usiniambie bado sijawaza vizuri sababu nawaza hadi nikilala naota kuwa mawazo yangu yametimia
Kuwaza lazima usindikize na emotions zako na matendo yako , unaweza kuwaza ndio ila matendo yako na hisia zako zinawaza kidimbwi kwa mpalange ,hutoboi mkuu.
 
Back
Top Bottom