The Finest mmmmhhhh

The Finest mmmmhhhh

Pleasure is all mine!..Enjoy the rest of your big day!!..
Usijali kabisa..Pizza&Pasta ndio kwenyewe, utataka kubaki huku mwenyewe!!
Basi tukutane jioni jikwaa la sports kwa mechi, ni formality tu kumalizia game ya leo but Manure wameshapita...See you!!
Cool!!!
 
Bes day boy
unaendeleaje????

Kabla hujakata keki usisahau
kunitumia nilichookuuliza kwenye PM..
Keshooo asubuhi na damkia..
 
Bes day boy
unaendeleaje????

Kabla hujakata keki usisahau
kunitumia nilichookuuliza kwenye PM..
Keshooo asubuhi na damkia..
Hahaha !!!! Yaani mimi kutaka kuonja keki ndio umenitoa nduki kiasi hicho lol
 
Hahaha !!!! Yaani mimi kutaka kuonja keki ndio umenitoa nduki kiasi hicho lol

Hahahshhah lol
fanya vile basi nakupa keki ya pili..
Ntakuonyeshea jinsi ya kukata na kula pia hahahah lol
Baade mi hiyo kazini.. usisahau aee mtoto mzuri mwaahh
 
Hahahshhah lol
fanya vile basi nakupa keki ya pili..
Ntakuonyeshea jinsi ya kukata na kula pia hahahah lol
Baade mi hiyo kazini.. usisahau aee mtoto mzuri mwaahh
Thanks be good, mwambie Catherine she's also invited
 
Happy birthday!!!
Mungu azibariki siku za maisha yako,na kazi ya mikono yako ibarikiwe.!!!
 
kuna contenna ya 'chibuku' inakuja muda si mrefu..!!hahaaa,mshindwe nyie tu
 
waalikwa wote plzeee,mnywe kwa ustaarabu na kesho muendelee na majukumu yenu....mkifikia hali hiiView attachment 29250
nadhani TF inabidi atolee maelezo!!
 
hivi do u knw zat song ya I GOT NEWS FOR U?AU NIKUPE MISTARI?
Hahaha wewe mbona hauishi vituko naujua sana yaani unataka kusema....kuna haja ya kuanza kukufunga na Solex lol
 
YouTube - SOS Band - The Finest - rare 'live' footage

Happy 16th Birthday Mkuu TF. God Bless you


2116.jpg
 
I've got news for you, so you messing round
I've got news for you, no more I gaze, cause
I've got news for you, try to bring me down
I've got news for you, Ho, Ho, Hoaaaaa
Hahaha wewe mbona hauishi vituko naujua sana yaani unataka kusema....kuna haja ya kuanza kukufunga na Solex lol
 
Back
Top Bottom