The Finest mmmmhhhh

The Finest mmmmhhhh

Happy Birthday my brother!!!
I wish God bless you…
With all joy and cheers…
May you live a long life…
May you get all good thing in your life…
May you have happy days and nights…
May all your dreams come true…
May all your desires be fulfilled…
May you spreading happiness everywhere…
And
Stay away from every sorrow and grief…
HAPPY BIRTHDAY WITH LOVE :bange:
Thank you my lovely sis
 
TF
Hongera sana kamanda
Nipo mjini nakutafutia banzoka
Mkuu naomba uniletee PK Chewing Gum
Mhhh...ngoja tu nami ninyamaze.... maana sitaki ugomvi kwenye kandamnasi........
:israel::israel::israel:
Mi nitakuwepo na mchemsho utakuwepo kama kawa...lakini kaka Fidel naona anataka kukuingiza sehemu mbaya,hata kama m-metoka mbali lakini haya mambo ya usajili haya, napata kigugumizi kidogo,sipendi ujihusishe.
Fidel huyo aliisha shindikana TIP TOP pale wanamjua vizuri
Ujue TF ulipoongelea swala la mchumba imenikumbusha mbali kidogo..kisa ambacho kilitokea kwenye hii bar ninayokualika leo....ni ile ya ndoa ya siku 3 iliyotokana na kondakta wa daladala kuhusu chenji...sijui unaikumbuka au niimwage kwa ajili ya jamvi...napata shida kigodo!!
Mkuu acha leo nisherekee vizuri hii siku hayo mambo utayafukua baadae banaa baada ya sherehe lol
 
Mkuu naomba uniletee PK Chewing Gum

:israel::israel::israel:

Fidel huyo aliisha shindikana TIP TOP pale wanamjua vizuri

Mkuu acha leo nisherekee vizuri hii siku hayo mambo utayafukua baadae banaa baada ya sherehe lol

haya bana..tuko pamoja!!ungeruhusu ningeimwaga hapa.
 
yah i can c n realize it..so appreciate dude!! Afrodenz naona kakimbia!!au ndo yuko bize jikoni kuandaa maakuli ya B/day yako??
Aisee umejuaje mkuu yaani nimemuomba kuonja keki kidogo nimeambiwa nisubiri hadi wageni waalikwa watakapofika
 
Mnuso lazma nihudhurie! Nipo madukani nakuangalizia zawadi ya viatu, unajua watoto 18yrz km wewe viatu vyao huwa vinasumbua sana....lol.
Dah!! Halafu mguu wangu umeongezeka navaa namba 11.
 
My brother from another mother, A very cheerful birthday to you!..Enjoy life, live your dreams and accomplish your goals!!

Venice is still waiting for you..I will have a birthday treat for you!!..

Be Blessed abundantly!!...Belinda JACOB.
 
Hope Mr. The Finest utakuwa big fun of Arsenal, coz mnasherehekea pamoja leo na Cesc Fabregas,lakini yeye ni mdogo sana kwako 1987,just like that...did u knw that?
 
Aisee umejuaje mkuu yaani nimemuomba kuonja keki kidogo nimeambiwa nisubiri hadi wageni waalikwa watakapofika

hahaaaa..Duh unalo!!Kumbe Afrodenz mkali hivyo.,sikujua hili,umenitoa tongotongo
 
My brother from another mother, A very cheerful birthday to you!..Enjoy life, live your dreams and accomplish your goals!!

Venice is still waiting for you..I will have a birthday treat for you!!..

Be Blessed abundantly!!...Belinda JACOB.
Oooh!! What a lovely day has been BJ THANK YOU SO MUCH my day is gettin better and better after your invitation mhh can't wait to get there PASTA and PIZZA usisahau halafu leo ndio tuna game na wale wachovu wa Ujerumani ndio raha kabisa
 
Hope Mr. The Finest utakuwa big fun of Arsenal, coz mnasherehekea pamoja leo na Cesc Fabregas,lakini yeye ni mdogo sana kwako 1987,just like that...did u knw that?
Hahaha Mkuu naona hapo tutakuwa tukigombana na kupigana madongo mimi na wewe hebu njoo huku MNACHESTER UNITED huko Arsenal unafanya nini banaaa lol!!!
 
Hahaha Mkuu naona hapo tutakuwa tukigombana na kupigana madongo mimi na wewe hebu njoo huku MNACHESTER UNITED huko Arsenal unafanya nini banaaa lol!!!

aagh taratibu mkuu...juzi m-meaibishwa emirates, na Fabregas hakucheza kwa sababu ya b/day yake ya leo,coz angeumia ile siku ingekuwa inshu..teheteheeee
 
Back
Top Bottom