The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Nimemaliza chupa mbili za Black Label hata sijalewa sasa sijui ni Black Label za kichinaUmesha lewa... au bado....
Nimemaliza chupa mbili za Black Label hata sijalewa sasa sijui ni Black Label za kichinaUmesha lewa... au bado....
Umeanza sasa nini? Ukaona uweke rangi rangi ili ivutie zaidi kumbe wengine macho yanatuuma..
Nimemaliza chupa mbili za Black Label hata sijalewa sasa sijui ni Black Label za kichina
HTML:Umeanza sasa nini? Ukaona uweke rangi rangi ili ivutie zaidi kumbe wengine macho yanatuuma..
She has a knack to complain.....................or should I say nag.....................
Ahaaa ahaaa Ruta banaaa lolHTML:Umeanza sasa nini? Ukaona uweke rangi rangi ili ivutie zaidi kumbe wengine macho yanatuuma..
She has a knack to complain.....................or should I say nag.....................
Ile ya kwetu ya kwenda kule bado naisubiriahahahaha lol
pole sana sana
naona wengi walijitokeza kusherehekea nawe
samahani wakoloni walinibana sikuweza kujumuika
ila usijali mie ntaanda Private party for two hahahahah lol
Hope you had a wonderful day...
AD
Nashukuru sana mkuu umepotea sana banaaDogoooo!!!!!!!!!! Nilikuwa cjasanuka mpaka nimekubamba haya kaka ukue ukiongezeka kimo ukimpendeza Mungu na cc pia HAPPY BIRTHDAY THE FN. Live longer Buddy
Kimey utamuweza siku hizi amekuwa CIA na FBIhahahahah lol
ujembe umefika usijali
anakutakia Happy Birthday pia hahaha lol
Naona unakzi ya ku Explain kwa Kimey
Kimey amesema ataanda cocktail partyhahahah lol
Mzima lakini Kimey ...
:israel::israel::israel::israel:shuuuuuuuuu
usimwage mchele kwenye kuku wengi..
:gossip::A S 20:
Nashukuru sana mkuuMkuu kila la heri nakutakia maisha marefu yenye mafanikio na afya tele
Mkuu jana nilitingwa hata via mobile sikupata mda lakini aidhuru tupo pamoja!!!Mkuu nashukuru sana wewe tena ukosekane kwenye list ya wageni wewe ni namba 5
Haina shaka mkuu tupo pamojaMkuu jana nilitingwa hata via mobile sikupata mda lakini aidhuru tupo pamoja!!!
Hahaha Kiongozi nashukur nitakuja kukuonaAisee AD kwani party imeisha?
Hapy belated birthday kiongozi....dah...wish u many more happy years bana
naona unakaribia kukabidhiwa katiba sasa...
Thanks MkuuBecause he is AWESOME
Aisee AD kwani party imeisha?
Hapy belated birthday kiongozi....dah...wish u many more happy years bana
naona unakaribia kukabidhiwa katiba sasa...
Aisee ngoja nipeleke kadi ya Kaizer baadae usije ukanianzishia Kung Fu PandaKaizer party haijaanza dear
party Jmosi hii .. Jamaa alizaliwa
katikati ya wiki .. Haifai kufanya party
Sasa mshike shati akupe invitation card yako
maana nimempa, nikampigia na magoti aifikishe....
hahahahahaha lol
Thank you sugar-cake :happy::happy::happy:yeah he is amazing person
Thank you so much dear ..