The Finest mmmmhhhh

The Finest mmmmhhhh

Halaf we Fidel bana...vinywaji vyenye lebel nyekundu mbona vimepungua kwenye friji??,sasa hivi ushaanza kuvamia keki na mapaja ya kuku ...lol

Hahahaha meneja kaenda kufuata depo.

Nashindilia kwanza tumbo.
 
Happy birthday kaka:A S-baby:, habari za siku mkuu. Mungu akutangulie katika mipango yako.Love
 
Happy birthday kaka:A S-baby:, habari za siku mkuu. Mungu akutangulie katika mipango yako.Love
Shwari mkuu nashukuru sana umepotea mkuu walau pita maeneo yetu yale uchukue yale mambo
 
Hahahaha huyu ameishia darasa la 7 mpe maji uhai huyu simujui mruke huyo kaishia form iv mpe maji ya Kilimanjaro
Hahaha wewe una matatizo sana hebu chungulia kule kwningine utoe mapendekezo yako home boy
 
Hahahaha huyu ameishia darasa la 7 mpe maji uhai huyu simujui mruke huyo kaishia form iv mpe maji ya Kilimanjaro

hili limenichekesha sana,kwa hiyo ni status inadetermine upewe kinywaji gani vinginevyo ni mpe,mruke hahaha
 
Back
Top Bottom