The Finest mmmmhhhh

Duh mkitoka TIP TOP,hembu pitieni pale Mabibo mwisho,bar mpya baadae tumalizie mipango yooooooe pale opposite 2nd gate LOYOLA kwa mama naniliii...!!coz nishatoa oda ya roast mbuzi katoliki kilo 3.
Hahaha Sizinga sikuwezi hayo maeneo inabidi kuyapitia na kuweka muhuri
Happy birthday mpwa! have a gud one..:drum::horn::violin:
Samora thanks sasa kwa Gude inakuwaje leo
 
Hahahaha vp usajiri unalipa lakini eneo husika?

Kama mwenye bar amefanya usajiri ovyo watu watahamia pale kwa Tiba

lol...no comment for tht!! Ila kuna wahaya pale nearby,ukishaweka glass moja tu mezani,wanaanza kujipitisha,so kazi kwako coz nasikia kuna kuku moja inatafuna vifaranga vyake baraa!!
 
Lakini mwenyewe kadai ni conflict of interest with u...nadhani anamaanisha mlikuwa na "Bifu"....bwabwabwabaaaaa
Tatizo la fidel vibururdisho vizuri i=anajimilikisha yeye mwenyewe
Hahahaha hakuna bifu Sizinga ningekuwa na bifu nae ningemkaribisha Tip Top? na nimesha mwandalia na kiburudisho cha kumpa massage leo.
Nafikiri hii ni kwa ajili ya tukio la leo tu Fidel mimi nataka kununua share acha hizo banaa
 
Zanta nashukuru hebu ibuka Club Continental mambo ya Khanga Moja lol!!!
Mama yangu weee! Mkuu sasa wewe na pumperz unaenda kwenye mbwendembwende? Kweli watoto wa kizazi hichi wanakua wakiwa tumboni. Hebu nipatie mtu wa kukaa na mimi karibu mkuu, nasikia mambo ya continental si mchezo lazima uwe na back up.
 
Hahahaha vp usajiri unalipa lakini eneo husika?

Kama mwenye bar amefanya usajiri ovyo watu watahamia pale kwa Tiba
Kuna haja ya kufanya Survey
lol...no comment for tht!! Ila kuna wahaya pale nearby,ukishaweka glass moja tu mezani,wanaanza kujipitisha,so kazi kwako coz nasikia kuna kuku moja inatafuna vifaranga vyake baraa!!
Halooo!!! Sizinga lol
 
Mama yangu weee! Mkuu sasa wewe na pumperz unaenda kwenye mbwendembwende? Kweli watoto wa kizazi hichi wanakua wakiwa tumboni. Hebu nipatie mtu wa kukaa na mimi karibu mkuu, nasikia mambo ya continental si mchezo lazima uwe na back up.
Nazungumza na wataalamu wawili SIZINGA na FIDEL hawa jamaa wana back up nzuri sana, Club Continental Fidel ana back up hadi 5
 
Kiongozi katika msafara wa mamba naomba niwe kenge niungane na huu msafara!!!Please The Finest...........Bira kusahau kusema neno hili.....Hapi birthday The Finest
 
Sijui ni kwa nini wanakuita THE FINEST
Sijui ni kwa nini wengi tunakupenda..
Sijui ni kwa nini twa taka kukujulia hali..
Sijui ni kwa nini tunapenda kufurahi nawe.

happy Birthday, The Finest
happy Birthday, dear
happy Birthday, to you

Mungu akujalie maisha marefu
yenye amani,upendo, utulivu
Na Mwenyenzi Mungu akuongeze
Busara na Hekima katika maisha yako

Na tunawatakia Birthday Njema kwa walio zaliwa siku hii ya leo Mbarikiwe sana.. Amen..

TF
Hongera sana kamanda
Nipo mjini nakutafutia banzoka
 
Halafu wewe Keren...ngoja tu nikae kimya, Mbona wanaifanyia hivyo ndo nini kukaa kimya hata hutaki kujua hali yangu? Hebu njoo chumbani nikunong'oneze leo uvae nini kwenye birthday ya TF, Najua kuna ka vazi fulani ukikavaa mie hua hoi.!!:bange:

Mhhh...ngoja tu nami ninyamaze.... maana sitaki ugomvi kwenye kandamnasi........
 
Kiongozi katika msafara wa mamba naomba niwe kenge niungane na huu msafara!!!Please The Finest...........Bira kusahau kusema neno hili.....Hapi birthday The Finest
Mkuu nashukuru sana wewe tena ukosekane kwenye list ya wageni wewe ni namba 5
 
Hongera Finest kwa kufikisha miaka uliyonayo,Mungu akujalie afya njema,nguvu,mafanikio yenye baraka,.
Umiliki na kutawala kwa Utukufu wa Jina lake.
 
Nazungumza na wataalamu wawili SIZINGA na FIDEL hawa jamaa wana back up nzuri sana, Club Continental Fidel ana back up hadi 5
teh teh teh Ngoja niwasikilizie makamanda wanitonye na mimi nikajionee mambo ya Continental. :bange:
 
Sizinga mida hiyo mchemsho utakuwa bado upo??

Mi nitakuwepo na mchemsho utakuwepo kama kawa...lakini kaka Fidel naona anataka kukuingiza sehemu mbaya,hata kama m-metoka mbali lakini haya mambo ya usajili haya, napata kigugumizi kidogo,sipendi ujihusishe.
 
Happy Birthday my brother!!!
I wish God bless you…
With all joy and cheers…
May you live a long life…
May you get all good thing in your life…
May you have happy days and nights…
May all your dreams come true…
May all your desires be fulfilled…
May you spreading happiness everywhere…
And
Stay away from every sorrow and grief…
HAPPY BIRTHDAY WITH LOVE :bange:
 
Ujue TF ulipoongelea swala la mchumba imenikumbusha mbali kidogo..kisa ambacho kilitokea kwenye hii bar ninayokualika leo....ni ile ya ndoa ya siku 3 iliyotokana na kondakta wa daladala kuhusu chenji...sijui unaikumbuka au niimwage kwa ajili ya jamvi...napata shida kigodo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom