Mkuu next time kama hujui kitu kaa kimya !! Silence has, and will always be the better option if you don't know the right answer!!!!
Kwa kukusaidia tu, nembo zinazobandikwa kwenye magari, mara nyingi huwa zinazungumzia zaidi engine iliyomo kwenye gari hilo , kwa kiasi kidogo differential system na , ni adimu sana kuzungumzia gearbox! hii inatokana na ukweli aina ya engine ,(ujazo, ulaji wa mafuta, na aina ya mafuta) ,huwa ina influence gharama za uendeshaji moja kwa moja ikiwa , pamoja na uwezo wa kuhimili safari ndefu, n.k., kwa maana hiyo watengenezaji wa magari wamekuwa wakiboresha zaidi engine , kuliko eneo lolote lile..
D4 (direct injection four stroke) , D4D (direct injection four stroke diesel) ni mfumo wa kuingiza na kuunguza mafuta katika engine, Gari za D4 ziko. za manual na automatic , watu wengi wameijua D4 kupitia magari madogo, kama preimio, Rav 4, ambazo nyingi ni auto, wakahitimisha kuwa Gari ya d4 ni lazima iwe auto, lakini kuna magari ya petrol manual transmitted ,kama land cruiser , hilux na hiace yana engine za D4 ( simaanishi D4D).
Baadhi ya magari ya d4 yamekuja na gearbox za CVT , watu wamekuwa wakininua bila kujua kama ni cvt transsmission, , a complex automatic box ambayo ni very efficient , but very sensitive, ukisikia mtu kabadilisha tramsission fluid , halafu gari ikaanza kuleta matatizo, most likely, jua lina CVT autobox. na sababu huwa ni kutofuata masharti ya mtengenezaji, na sio kuwa gari ni bovu, bali umeriharibu kwa kutokujua kwako