The difference between Toyota VVTI and D4 Engines

The difference between Toyota VVTI and D4 Engines

Inawezekana kufanya hivyo ila kuna mambo yakuzingatia kabla yakubadilisha engine.
1 zingatia ukubwa na uzito wa body ili engine utakayoweka isiwe ndogo zaidi.

2 zingatia mfumo wa umeme na aina ya engine unayoitaka.

Kwa ushauri na wataalamu wa Toyota, karibuni super kitasa Jr motor,tupo sinza mapambano jirani na hospital ya wachina (sino) 0754 939497 ni suluhisho wa tatizo la gari lako
Kwa maana hiyo inawezekana kubadilishwa injini D4 ya RAV 4 ikawekwa ya VVTI?
 
Kwa maana hiyo inawezekana kubadilishwa injini D4 ya RAV 4 ikawekwa ya VVTI?
Inawezekana ila nadhani utatakiwa uvue na gearbox kwa sababu moja ni ya CVT ingine ni Traditional AT. D4 engine inafungwa na CVT while 1ZZ inafungwa na 4 speed AT gearbox.
 
jinsi ulivyo yataja ndivyo quality yake ilivyo kuna magari ya marekani na europe huko kwenye mfuniko wa tank utakuta umeandikiwa kabisa use gasoline only.

ukijaza mafuta mengine kama hiyo petrol hapo ni shidaa gari inaweza isiwake kabisa au ikiwaka ujue ni majanga kwa kwenda mbele miss haziishi na gari linaweza likashindwa kutembea kabisa.
au ikatembea ikawa haina performance nzuri.
Mfano Mitsubishi gdi inavyotesa watu
 
Back
Top Bottom