Hello From Beijin!
Akafika huko Beijin, kidogoooo akaweza kupumuaaa. Sasa kamkopo ka serikali ya jamuhuri ya watu wa china ni kadogo mnoooo. Yaani kadogo huwezi hata kuhemaaaa. Ikabidi akae hostel na ashazoea mambo ya kukaa apartment ku live large kwa hisani ya juimuiya ya watu wa Denmark. Ikawa siku ya kwenda Baeijin nako Mikosi kama kawaida.
Kwanza walimkatia Ethiopian Airways, ana ungia Ethiopia tobaaaa. Akaamua kuigomea hi flight. Ikabidi amlambe lambemiguu yule mbabu wa Denmark, mdutch amkatie emirates na ahadi kibao za kuonana manake China sio mbali na babu akamwambia ana mpango wa kwenda Seoul, na Vietnam. Hapo chacha. Kampanga kampangaaa babu mgumuuu, mara atake skyoe sex, show me your vajjjj in the webcam, shiw me you tits, wazungu waoneni kwenye tv tu, wana tumambo twa ajabu ajabuuu. Afu kwao ni muhimu kuliko maelezo. Akaenda nae sambamba ikapatikana tiketi ya Emirates, business class.
Wenzie wakaondoka na Ethiopia, economy class. Yeye Emirates akaungia Dubai. Dubai zile 72 hrs akaamua kuzitumia ipasavyo. Akala bata siku zote na kuondoka siku ya mwishoo. Kufika Beijin hamna wa kumpokea wala nini. Akachukua Tax kama kawaida kampa barua ya hiko Chuo akapelekwa. Sahivi akasema alijiandaa akawa na yuan zake za kutosha kabisaaa. Sasa tax dreva akamwambia usikae mbelee, kaa nyuma, akaona ni very odd. Anyway akakaa. Kufika shuleni anamlipa Yuan 100 za kwanza ili ampe chenchi, akamrudishia Yuan feki hizooo. Akambadilishia akampa zingine 100, akamrudishia feki nazo. Akamwambia pay dollars. Akawa hataki, mwisho akamwambia okay pay dollars. Akamlipa 20 dollars akashuka zake chuo. Kidogo akajisikia kama ndege alietolewa tunduni.
Kama ujuavyo serikali ya china kitu cha hostell, tobaaa! Akavumilia, duuu kama mabibo hostell. Akakuta roomate wake safari hii mmarekani. Akawa kabarizi, anatafakari hako ka hela ka serikali ya watu wa uchina. Akaanza kwenda darasani kujifunza kichina kwanza. Yule mmarekani sasa akawa anatoka na wazungu wenye viwanda huko china, kila siku yupo safarini.
Akaweka profile match.com hakuna kituuuu. Akawa kadataaaa. Sasa wachina choka mbayaaaa, afu sio attractive ikabidi tu awe hana jinsi wala kadet zaidi ya kudate wananfunzi wenzie. Ndo maana yake. Wanafunzi waliokuwa wanakula bata refuuuu ni wa serikali ya Saudi Arabia, lakini sifa yao ilikuwa sio nzuriii kabisaaa, na mambo waliowafanyia wanawake wa kichina yalikuwa si ya kupendeza kabisaaa.
Hapo kuna jikaka la kibongo, tuseme jibaba lina familia kabisa bongo linamwambia tupozane huku ugenini tukirudi bongo kila mtu na time zake. Khahaaaaaaaaa! Akamwambia wewe, mimi siwezi kubeba mchanga wakati naelekea beach, wabongo nimewaacha bongo hapa najiachia na wageni tuuu. Ubataka utoke na mmbongo mwenzio unikopeeee? Akhaaaaaa babu wewe. Chukua wachina uwalipe. Hahhaahahahaaa! Yule kaka akaenda kuwaambia wenzie Z, sio ana nyodo sanaaa, kasema hatupendi wabongo choka mbya sijui nini. Wabongo si ndo wakamtengaaaa., wakawa wanamfanyia baridaaa sio wakaka sio wadada.
Siku hio ana ni skype shoga angu kuna la laana arifu hukuuuu, agu wabongo wamenitengaaa. Nipo tu ndani nimelala kama mgonjwa. Nikamwambia if you didnt curve our bongo brothers you could be having a di.ck in that cold, ila mdomo wako umekuponza. Hahahaaaaa! Akaniambia acha tu. Nikamwambia go clubbing, utakutana hata na wapopo mtu wangu, usije shikwa ngiri jike huko, hahahahaaaa.
Ndo akawa kaenda joint moja jirani ya blacks, ina dj mmalawi. Kufika pale akamuona kaka mmoja ni mtamu balaaaa. Jamani huyo kaka ni mtamuuuu. Hata alivonionesha nikakubali ni mtamuuuuu. Alikuwa na rafiki yake wamezubaa tu, ma nerd. Akaanza kumtongoza mwenyewe, chezea uhabaaaa, simba akizidiwa anakula nyasi mmbonaaa! Akawa anamsoundishaaaa.
Yule kaka akamwambia mimi nimetokea Cape Verde, nae yuko kwenye huo ufadhili wa serikali ya Uchina, tofauti na waarabu ambao walikuwa kwenye ufadhili wa serikali ya Sultan. Basi aakanza kumsoundiha mambo yake yale yale ya siku zote Man U, Chelsea, Game za Fifa, game wrestling, nerd mbona akajaaaa nyavuniiii. Wakaanza kucheza mzikiiii, huku na huku akamwambia twende chumbani kwake sasa m cape verde. Sasa hapo ndo akaenda kufanya mauajiiii ya hatariiiiii.
Ikawa sasa ndo yupo na m cape verde kama mumewe ile tabia yake ya kufuga mabwanaaa. Kama wameoana. Sasa watu kikawa kinawauma, Z sio mzuri hata kidogoooo, afu m capeverde ndo mzuri balaaaa, wakawa wanajisexisha kwa mcapeverde wa watu mwanzo mwishooo. Akijua ni anawashushia kipigo tu, haongei sanaaa. M capeverde akawa haskii wala haoniii.
Tatizo mcapeverde mvivu kitandaniii, yaani hajishughulishi anasikilizia raha tu, anazopewa na bibie Z. Sasa Z akawa anaborekaaa kichizi manake game iko one sided. Akishakojoa yeye huyooo m capeverde basiiiii, ndo biashara ishaisha hivooooooo. Iwe mwenzie kafika hajafika hajali wala nini. Sasa ikawa hatuelewi ni kusudi anafanya au ushamba tuuuu. Na haelekezekiii, ukimbeep kidogo tu ananunaaa huyooo na game anaweza kuisusia kabisaaaa. Ila as a person he was a very good guy. Ana roho nzuri hamna mfanooo. Anamlipia kila kitu, kila outing, ana muda nae any free time anayoipata yuko kwapani.
Katika kusikia sikia akasikia wanatafuta walimu wa kingreza, english medium za hapo Beijin. Na mtu akamwambia kuna agent anakuunganisha unafundisha kinyemela, mshara $5000 ila coz ni kinyemela unaliowa nusu yake. Akakubali kabisaaa, potelea pote maadamu ahame hostel aliyokuwa anaishi, apange apartment mambo mengine yaendeleee. Akafanya interview akapass, manake utapeli tapeli ashaanza toka Denmark kwenye club kule alikokuwa na kudarasa sio rasmi cha watoto. Akawa anafundisha hukooo.
Kweli akahama chuo, akachukua apartment, akawa anapata hela si kitoto. Kidogo akarudi kwenye ramani, ikawa anaweza kwenda kula bata Korea, akaenda Hongkong, akaenda na Tokyo. Sasa kituo cha bus anachopandia kukawa na mghanaaa wanapanda wote kila siku asubuhi, tatizo mghana anshuka kituo cha mbele yake. Mara wakaanza hi, hi, wakaanza kuzoeana kidogooo.
Mghana ni mrefuuu, afu ana body flani amazing ya mazoezi. Aaaaah! Shetani akawa ana mbeep beep. Mara mghana akamualika kwenye apartment yake. Aende atampikia Ghananian jollof rice. Akwa ana mashaka kweli kama aende au asiende maana kila akimtafakari yule mghana na muonekano wake anapata kigugumizi, ikabidi tu aendeeeee.
Kufika jikoni, pika, pika kwenye kula sasa, mghana kaanza uchokoziii, akikumbuka kikoko alichonacho mda mrefuuuu manake m capverde hasomekiiii akaamua potelea pote auze mechi tu. Mghanaaa hakufanya ajizi, hapo hapo jikoniiii kampa dozi nene. Mghana anajua mambo ni balaaaaa. Yani anapiga deki usisikie... Akasema hii kibokooooo. Hakukubali kutoa ushindi wa mezani, nae akaweka upinzaniii mkali, ikawa sasa mtananga mkali wa kukata na shokaa, Z, vs mghanaaa. Sasa kimbembe kuja kumgusa mghana mandingoooooo kasingiziwaaa. Ana mashine ni balaaaa. Akawaza fasta sasa hapa nifanyaje mabake kuchomoka siwezi, nikimpa tu huyu, kibamia wangu kule lazima ataelea, na atashtukaaa. Sasa hapa nufanye nini? Akikumbuka kikoko alichonacho ikabidi tu auze mechi. Mghana alimpa mambo siku hio ni balaaaa. Afu mstarabu haingizi dude looote sijui alishajua dude lenyewe ni terminator. Hahahaaaa! Anaingiza kidogo sanaaa. Basi mghana akamuuliza kama ana mtu Beijing akasema hanaaa. Wakakubali wawe na affair.
Kurudi kwake kamkuta Kibamia, nae kawaka kishenziiii anataka mambo, uneonaaa. Mmmmh! Akaenda kujimwagia majiya baridi parudi wapiiii. Ikabidi ajifanye anaharishaaa, kibamia kalala hapo hapo. Mpaka kesho mchana ikabidi ampe mambo na yeye, lakini hakustukaaa. Ikawa yuko na wote sasa mghana na kibamia. Baada ya kama mwezi akaanza kuhisi anaumwa umwa, siku hakuizonaaa. Tobaaaaa. Akawa hajui mimba ya kibamia au mghanaaa! Kimbembe kibamia ana asili ya watu wa capeverde kama machotara flani, ni weupeeee peeee, mghana mweusiii. Akaona sasa bakshishi ndo itakayo mkumbaaaa.
ITAENDELEA.