Lara mwishoni huwa unatupeleka puta ilimradi story imalizike,vibaya hivyo..Nishautapikaa kubwa, kitu finitoooo.
Doh,naona bwawa lishaingia luba...watu walitaka kuja inbobo kupata no ya bi Z waanze ku mingle..ndo basi tenaKuna taarifa ya hivi punde soma tenaa huo uzi wa mwishoo
Fast-paced and crackling with wit, this classic anthology shows why lara1 is the unchallenged JF champion of story telling.Home Bitter Home!
Sasa akawaza na kuwazuaaaa, akaona bora aende hospitali kucheki mambo ya abortion inakuwaje. Kufika kule Dr. anafurahi kabisaa, aka fanyiwa utaratibu kitu kikatolewaaa. Sasa huduma za kule elekziii, akapona fastaaa. Na Masters ikakamilikaa, wakawa wanaanza kusambaratikaa. Kibamaia akamwambia waende wote cape verde, akatafakarii akaona hataaaa. Mghana alikuwa anafanya PHD so akawa kama na miaka 3 zaidi ya kujiachia uchinani. Akaamua kubakia na mghana.
Mcape verde akasepa zake kwao, wakawa tu wanawasiliana. Kitendo cha ile hela ya serikali ya watu wa china, kukatika kikawa kimemyumbisha sanaaa, maisha yakaanza kuwa magumu si kitoto. Manake akawa anaishi kama raia wa kawaida sasa. Hela ikawa haimtoshi kabisaaa, ku save haweziii, na kwenda nje holiday sijui nini hawezii.
Mghana bahili hatariii, manake kwao ndo wanategemea hizo hela za kufundishia, uzuri yeye alitafuta mwenyewe so alikuwa analipwa yote $5000 bila agent wa kugawana. Lakini ndo anajenga kwao, kwa hio anaishi kwa kujibana hatariiii, haendi hata nje ya nchi kuenjoy, kula kwenyewe anajipikia kila siku, hali nje, club haendi. Maisha yakawa kwenda kazini, kupigana miti, ndo mfumo huooo.
Siku aka kaa akajitafakariii, akaona yale sio maisha bora tu arudi bongo, kuangali mishe zingine. Akaamua tu, mwisho wa mwezi huo kachukua mshahara wake, kawaaga wanae darasani, huyo kaji bookia Qutar airways, kama kawaida luxury till the end. Karudi bongo. Sema hakuudi kiboyaaa, karudi na $$$$$$$$ za kutoshaaa.
Kapanga nyumba, kanunua Plasma, kochi la maana, bedoom set, kafunga mpaka AC. Kwenye gadgets usimpimie ana kila kitu latest, pc alikuwa nazo 2, moja apple na ingine sonny proto type, simu apple,i pad, . Alikuwa kajipangaaa si kitoto. Kating bongo kafanya bank ya kwanza kaona mizinguo, kafanya bank ya 2 mizinguo, akaamua kurudi chuo kupig mapindiiii. Mpaka leo anawapiga wanafunzi mapindiii.
Basi baada ya kurudi akapata bwanaaa, mtu mzimaaa. Akawa anatoka nae, ni usalama wa taifaaa huyo kaka. Ikawa anajua kujali hatariiii, kodi ikiisha anajiongezaaa, analipia, mara anakuja kulala kila baada ya siku. Akimuhitajia anakujaaa, wana spend, wakawa wako fresh kabisaaa, mpaka hio siku akapigiwa simu na mwanamke.
We nani? Akamjibu wewe nani? Mimi mke wa flni, nina watoto nae wawili afu sahivi mjamzitooo. Sasa na kutaarifu huyu bwana muhuni, malaya mbwaa, sio peke yako ametupanga foleni. Akashangaaa, akamuuliza mdogo mtu maana alitambulishwa, mpaka kwa wazazi alishatambulishwa. Akamwambia kuoa hajaoa ila kweli ana watoto 2, ila huyo mzazi mwenzie hapo kwao hawamtakiii, hawamtaki kbisaaaa.
Akamuuliza mwenyewe mwanaume, akasema ukweli ni kwamba nilioa lakini kisiri wazazi wangu sikuwashirikisha manake walikuwa hawataki nimuoe huyo mdada. Na kweli ana watoto 2. Akamuuliza ni mjamzito? Akasema yeye hilo hajui na hawezi jua maana wameachana kitambooo. Yeye sahivianataka kumuoa bibie Z. Mipango ya mahari iko pale pale. Hamad siku wakakutana na mjomba wa huyo mwanaume, akawa wanaongea akamwambia yule mwanamke mjamzitooo, aksema ndio nafahamu, miezi sijui 7, na mambo kama hayooo. Alivoondoka mjomba akamsutaaa! We si ulisema hujui kama ana mimba? Umejuaje kama ina miezi 7, na ni ya kwako wakati mmeachana kitambo. Akajikanyaga pale weee, kimepanda kimeshukaaa.
Akamwmbia oooh akijifungua tu namgea talaka, manake nikimpa talaka sahivi mjamzito manake kama nime italiki mpaka hio mimba tumboni! Khahaaaaaaaaaa! Ni sawa na kumpa talaka mpaka mtoto alie tumboni. Dini yao hairuhusu kumtaliki mjamzitooo. Ila akijifungua anampa talaka 3, manake hawezi kurudiana nae mpaka aolewe tenaa aachike. Mmmmmhhh!
In short mshikaji ni muongo muongooo, haelewekiii msimamo wake ni upiiii. Huku baba mkwe anakomalia mahari ya Z ipelekweee, ndoa iendelee kama kawaida. Sema ana care sanaaa, kulipia kodi, nini, akija anauliza humu ndani nini kimeishaaa, ananunua, luku, chakula kila kitu. Mdogo wake anaumwa mda mreuuuu, kalazwaayani kuna bili outstanding hospitali kubwa tuuu, kila mara anaenda kuipunguza ile bili. Mara kapunguza 2m, mara 1m yani deni linasogea sio kidogo. Mpaka mama yake kaanza kumuelewa huyu mume wa mtu japo hajajua sasa kama ni mume wa mtu. Na kama kawaida kulala huku analala , kila anapohitajika anapatikanaaa.
So yeye kaamua tu kwa sahivi akae na huyu huyu cha uwongooo, amchunee, amsaidie kwanza mambo yake, cheatting kama kawaida, akienda kwa mkewe yeye huku anakula vichwa kama kawaida, mpaka hapo maisha yatakapo jichujaaa na kukaa vizuri itakiwavyooo. Kuna engineer mmoja, yupo kwenye radar tatizo lake bahilii sanaa, afu anaendekeza free p, sasa zama hizi za uchumi wa maghufuli free p, kwa mpango gani? Haikubaliki asilani. Basi ukiacha uchoyo wake wa kipare engineer hana tatizo ila Z, ndo amempotezeaaa kimtindo.
Z, bado yupo SINGLE AND READY TO MINGLE! (Single hii single ya kimjini mjini)
Kwa taarifa nilizopata hivi punde, Z ni MJAMZITO TENAAA, wa huyo mume wa mtu, na safari amesema baaaas, ANAZAAA tu, hana jinsi. Manake Mungu sasa atakasirikaaa.
THE END!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
NEWXT WEEKED KITU CHA AVERAGE JOE, THERE IS NO COUNTRY FOR COMMON MEN.
Nakukubali bureee thriller masterNishautapikaa kubwa, kitu finitoooo.
All in all wazazi tuwe karibu sana na watoto wetuKuna taarifa ya hivi punde soma tenaa huo uzi wa mwishoo
Mmh,nimeiona Mungu amtangulie na hio mimba,amlee mwanae,maana kama ujana tu kashaula vya kutoshaMwisho huwaga unakujaga kwa MKUPUO, haujagi kwa style, kuna habari ya hivi pundee umeipataaa? Some uzi wa mwisho nim update.
Duh kumbe kazaa kabisa?? Ila bora azae asoje toa kizaz bure akaja jutia mbelenKuna taarifa ya hivi pundee, soma tena huo uzi.
Bwana weee MSHAAMBIWA MTAKULA KWA JASHOOOO, sasa mnavotaka mle bureee mnakuwa hamsomekiii.
Lara1 katika ubora wako tena..Home Bitter Home!