THE DIASPORA! Life is a gamble; win some, lose some

Kuna taarifa ya hivi pundee, soma tena huo uzi.
Best kuna wakati naona unatuuzia maneno. Sasa Z kasoma digrii mlimani, then akaenda Copenhagen (Masters?) then Uchina (Masters!?)?
 
Kwani boss inakatazwa mtu kua na masters mbili au zaidi??kuna watu kibao town wana MBA na MSC at the sametime...
 
Tatizo EXPOSUREEEEE. Watu wana masters 4 mradi tu wakae ulaya, ndo anajifunza hapa, jf pia nayo shule japo haitoi degreee. Anafikiri wote wanzangu na mie masters moja ya ngamaaa, kama dawa.
 
Best mpaka uchukuliwe kufundisha chuo kuwa lecturer sio kwa ki masters kimoja cha dawa. Sahivi ukiacha hizo Masters 2 anasoma London CFA. Kila mwezi wa 9 anaenda kufanya pepa za CFA.
 
Tatizo EXPOSUREEEEE. Watu wana masters 4 mradi tu wakae ulaya, ndo anajifunza hapa, jf pia nayo shule japo haitoi degreee. Anafikiri wote wanzangu na mie masters moja ya ngamaaa, kama dawa.
Hahahahahaha,Ka masters kamoja ka ngama....nchi za watu masters One Year & U can take as many as u wish sio bongo wanabaaana hadi 4 yrs mtu anasomaga tu ka masters kamoja ka ngama...nway atakua keshaelewa best
 
Sio siri Z kajitaidi kuuza, kama ni kula kwa jasho mwenzetu kala jamani.Najaribu kumfananisha na marafiki zangu flani lakini du, hamna anaemkamata, mwenzetu kaonja ladha za mataifa mbalimbali si haba.
Kwa iyo mwisho wa safari kaangukia kwa mme wa mtu.
 
Mmoja anatoka na Papito Msofeee, Mwingine na Mnigeriaaa, Mwingine yule kiongozi wa vita vya Majimaji.

ha ha ha...umemtaja jamaa kiaina sana...........
 
Kwani boss inakatazwa mtu kua na masters mbili au zaidi??kuna watu kibao town wana MBA na MSC at the sametime...
It is unreasonable, unless you are doing it for certificates or other non-academic matters. When you go for higher degrees you are narrowing and specializing into something you are interested in, supposedly.
 
Tatizo EXPOSUREEEEE. Watu wana masters 4 mradi tu wakae ulaya, ndo anajifunza hapa, jf pia nayo shule japo haitoi degreee. Anafikiri wote wanzangu na mie masters moja ya ngamaaa, kama dawa.
I live and work in a 'world' where people have multiple degrees, certs from reputable varsities, etc, I was just wondering how a socialite and an elite h**ker would also be bookish!
 
lara 1 we mkali huna mpinzani kwa kusimulia......ila umebadilika.... naona hata mtu akija na shombo unamjibu kiungwana...sa sijui ndo utu uzima au ndo mambo ya wokovu...au ndo ile shetani akizeeka anakuwa malaika...siku hizi ukichokozwa unajibu kibusara sana.....
 
I live and work in a 'world' where people have multiple degrees, certs from reputable varsities, etc, I was just wondering how a socialite and an elite h**ker would also be bookish!
She is straight AAAAs, just her talent GOD GIVEN! Even hookers are children of God and thy father loves them.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom