BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
Mwenye uthubutu wa kujichotea trillions hazina pesa za walipa kodi bila idhini ya Bunge. Mwenye uthubutu wa kudharau sheria na taratibu zote za Serikali afanye vile atakavyo yeye na mara nyingi kuingiza nchi kwenye hasara kubwa sana.
Mwenye uthubutu wa hivi ambao 99% of the times ni majanga na hasara kubwa HATUFAI KABISA na hastahili kuendelea kuwepo madarakani.
Mwenye uthubutu wa hivi ambao 99% of the times ni majanga na hasara kubwa HATUFAI KABISA na hastahili kuendelea kuwepo madarakani.
Mwenye uthubutu wa kuminya upinzani, kuwaamrisha majaji wawafunge wabunge wa upinzani. Kifungo cha Sugu uamuzi ulitoka juu.
Mwenye uthubutu wa kuikata budget ya CAG, aliyeshindwa kutoa maelezo ya T 2.5 zikowapi.
Mwenye uthubutu wa kuongea Kiingereza ambacho anakisikia na kukielewa mwenyewe.