The Bold: Shukrani Wakuu

The Bold: Shukrani Wakuu

Mkuu The bold asante sana kwa Michango yako apa JF hakika wengi ime tujenga + stori zako na uandishi wako napenda sana ....

Big up kwa kweli.
 
Yan. Asante sana, kipaji ulicho nacho kisipotee Mungu akikuze zaidi
 
daaah The bold unapiga kazi aseee...na mimi nahisi nina talanta kama yako lakini bado mazingira na muda havijaamua niwe ninachotaka..anyways....miaka mitatu ijayo huenda na mimi nikaaza mungu akijaalia
 
Yaani unazidi kunipa hamu ya kusoma na kujifunza kutoka kwako, uungwana ulio uonyesha ni vigumu kwa kizazi cha digital kukutana nao, hongera kwa kuwa na shukrani japo kuwa sisi ndio tunao paswa kukushukuru.
 
Dah mpaka machozi hivi hamna ka member lonely kama mimi tuanzie safari yetu humu kwenye uzi wa The bold ?
Hizi post zimenichekesha sana, maana Yamakagashi ni mpweke anahitaji kampani ya member wa kike.
Kajitokeza Kizibo1 anasema amejaa kama pishi la ubwabwa halafu nilivyoangalia avatar ya Kizibo1 nimecheka kweli.
Nipo nimejaa tele kaa pishi la ubwabwa
 
Kuna kitu kimoja ambacho nimekuwa nikihisi long time (kama nitakuwa sivunji sheria za JF). Ukisoma uandishi wa The bold na barafu ni huwa nahisi ni same person. Otherwise wana kipaji cha uandishi cha pekee.
Mkuu mimi sio ndugu The bold ,lakini mimi pia ni "mwanafunzi" na "mfuasi" mkubwa wa huyu jamaa,mpaka "kijiweni" kwangu kuna mtu huwa anadadavua mambo mpaka tumempa jina la The bold

Note:Nje ya JF mimi ni mtu mkimya sana,naongea kwa nadra sana
 
Back
Top Bottom