miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Pamoja sana the bold..
.........yule mwenye herufi ya jr kwenye jina lake!
Thanks The boldDivine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope, mamaafacebook II
Hapo mwisho chacha #TheBoldIsmine# Ahsanteeeeeeeeeeeeeee mama.
Teh me mbona tayari banaDully anasema, Hapo Mwisho, Mwisho Kabisaa!!!!
Umepaona, bado wewe!
Teh me mbona tayari bana
Ntataja tena usikieSiyo kwa sauti, labda kama ulitaja kimoyo moyo!
BTW, Big up kama tayari.
Unaanza sasa.Hivi mkuu The bold wale watu waliokufanya uptee kwa takriban mwaka 1 ni kile kikundi cha yule Askofu flan alihamaga pale TP ....Kile kikundi chake kinaitwa Jeshi la Daudi...ndio hao...?
HahahaaaaaHapo mwisho chacha #TheBoldIsmine# Ahsanteeeeeeeeeeeeeee mama.
Ntataja tena usikie
InshallahDouta mimi hata usipotaja, kwenye kupokea mahari nitakuwepo, so nitamwona tu.
The boldDivine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope, mamaafacebook II


Neno wakati mwingine si kwa chuki bali challenge kama umerudi kutetea hoja kwa nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu maana kipindi kile ukiwa na vita baridi na yule bi. Dada mange ulikuwa umetumbukiwa nyongo hukuwa na simile na wala hukuzikwepa fatiki basi nawe makofi kwakoMungu wangu!Am speechless.
Sikuwahi kufikiri kama ipo siku nami nitakuwepo katika list yako ya kukumbukwa!
What a honour?
Asante sana The bold.
Ni kweli kabisa, nakiri tulikuwa maadui wakubwa sana.
Kila tulipokutana ktk threads tuliumana kwelikweli, namshukuru Mungu kwa busara alizokujaalia maana siku zote ulijishusha wewe.
Nakupongeza kwa aina ya makala ulizoamua kuja nazo ndizo zilizonifanya niweke silaha chini na kuomba kuimaliza vita.
Kupitia kwako nimejifunza mengi kubwa zaidi ya yote ni kumheshimu kila mtu.
Nilikuchukia kipindi kile,sikuwahi kufikiri kama una akili kubwa kiasi cha kunifanya nianze kuvutiwa nawe.
Hivi sasa nimebadilika sana,namheshimu kila mtu humu JF,nimeamua kwa nia ya dhati kuachana na vita vya maneno na members humu.
Never say never,nobody knows tomorrow...
Leo hii wewe niliyekuchukia ndiye kitu cha kwanza kunijea ktk akili yangu kila niamkapo.
Lazima nikutafute nikutakie asubuhi njema ndipo mambo mengine yaendelee.
Nakutakia kila la kheri katika makala zako za kusimumua,daima nitakuwa nawe bega kwa bega.
You got my full support my love...
#TheBoldIsMine#

maana kupata heshima si kazi bali kazi kulinda heshima yakoDuuh ume fall in love kiukweli kwa the bold?!!!!Hahahaaaaa
Yessssssssssssss
He is all mine![]()
Karibu mama.
Pamoja Mkuu..Pamoja sana the bold..
Shukrani sana sunola! SaluteHongera mkuu The bold mwaka unaenda kuisha sasa wacha niseme wewe ni hazina una utajiri wa kutisha katika brain yako kipaji ulicho nacho ni cha kipekee sana mku.
Binafsi wewe ni mtu muhimu unaeyenielimishaga na kunifanya nakuwa nafuraha niingiapo hapa najifunza mengi kutoka kwako, mada zako na michango yako kwa kweli imenitanua sana upeo wangu wa mwono Respect sana mkuu& SALUTE.