The Bold: Shukrani Wakuu

The Bold: Shukrani Wakuu

The bold na mimi nakuja JUU mwaka kesho lazima utanitaja.. Shukrani the bold Kwa nyuzi zenye kitu inside.. Shukrani Kwa members wote
 
maneno ya hekima kutoka kwa mtu mwenye hekima! The bold km hutojali nahamu ya kukufahamu japo sura yako tu!...Nijiridhishe maana siyo kwa mada zinazonifanya kila siku nijitahid kusoma vitabu na makala mbali mbali! ASANTE SANA the bold
 
Mola akubariki zaidi ya hayo!!
Nakupongeza kwa uandishi mahiri,
Sarufi na matumizi ya lugha ni mzuri,
Mtiririko wa mada zako kifungu kwa kifungu zinashawishi uendelee kusoma zaidi, tunakuombea afya njema na amani iwe nawe, wakati mwengine unaweza kusema kuna watu wameletwa duniani kwa ajili ya kazi ya uandishi tu!! Cc: The bold
 
The Bold Issue Za Mbasha ndio Zilizokupatia Umaarufu Humu JF.

Mkuu labda uko sahihi, lakini kwangu hapana.

Story ya kwanza kuisoma ya The bold ilikuwa ya Leonardo Natarbartolo

Tukio la Ujambazi lililofanikiwa zaidi, kusisimua na kuushangaza Ulimwengu

Aliposhusha nyingine ya Carl Gugasian au maarufu kama 'The Friday Night bank robber'! ndo nikawa attention-ed kuangalia profile yake.

Historia ya kweli ya jambazi msomi na aliyefanikiwa zaidi katika azma yake

Kutoka hapo tumekutana na vitu kama D. B Cooper

D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Geranimo:

Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

MIFEREJI YA DHAHABU: Humu kwenye hii story kuna mstari mpaka leo nikiukumbuka najiuliza mahali waandishi wanazitoa akili zao,

... lakini kamwe hawakutegemea mtu 'mboga saba' kama Spaggiari ati atake kuwashirikisha wao kuhusu tukio la ujambazi kwani wanaamini kuwa Spagiari hajui chochote kuhusu uhalifu wala hajui hata "a e i o u" za matukio ya ujambazi.

Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Baada ya hapo nikiliona jina la jamaa ni lazima nisome alichoandika.
 
Huyo nae hajui alisemalo,The bold wa kwenye habari za Mbasha ndio alikuwa anachipukia.
Makala zake zilizokwenda shule ndizo zilizotufanya wengi tumkubali huyu mtu.

Honestly say nilianza kumkubali kwenye Geranimo E.K.I.A
Baada ya hapo akaja kunimaliza kabisa kwenye Mifereji ya dhahabu...pasipo silaha,chuki wala ukatili.
Hapa ndipo safari ilipoanzia

Ila ukiniuliza makala kali kabisa kuwahi kutokea ya The bold ni Geranimo E.K.I.A
Nililia machozi!
 
Nakumbuka kuna thread tulizinguana kidogo tu lakini jamaa akanifuata kule thread ya Makapuku na mambo yakaisha fasta...kiukweli sikutarajia mtu km The bold kujishuzha

Pia nitakutafuta chemba kuna maujanja nahitaji unijuze maana niliachaga kutoa thread jukwaa la utanashati baada ya kugundua kuna mablogger vibaka
 
Shukrani sana Mkuu Bitoz, ingawa mwenyewe hutakagi ila niruhusu niendelee kukuita Mr. President

Bila shaka Mkuu! Tutafutane, tutajuzana..
 
Back
Top Bottom