The Bold: Shukrani Wakuu

The Bold: Shukrani Wakuu

Shukrani mkuu binafsi nimejifunza mambo mengi sana kupitia nyuzi zako na kunisaidia kukuza uelewa wangu

Kwangu Mimi wewe ulikuwa mwana JF bora kwa mwaka 2016 Kupitia mabandiko yako yenye kufunza,kuelimisha n kuburudisha .

Mungu akujalie afya njema na akupe moyo kupambana zaidi

Cheerss
 
Mungu wangu! Am speechless.
Sikuwahi kufikiri kama ipo siku nami nitakuwepo katika list yako ya kukumbukwa!
What a honour?
Asante sana The bold.

Ni kweli kabisa, nakiri tulikuwa maadui wakubwa sana.
Kila tulipokutana ktk threads tuliumana kwelikweli, namshukuru Mungu kwa busara alizokujaalia maana siku zote ulijishusha wewe.

Nakupongeza kwa aina ya makala ulizoamua kuja nazo ndizo zilizonifanya niweke silaha chini na kuomba kuimaliza vita.

Kupitia kwako nimejifunza mengi kubwa zaidi ya yote ni kumheshimu kila mtu.
Nilikuchukia kipindi kile,sikuwahi kufikiri kama una akili kubwa kiasi cha kunifanya nianze kuvutiwa nawe.
Hivi sasa nimebadilika sana,namheshimu kila mtu humu JF,nimeamua kwa nia ya dhati kuachana na vita vya maneno na members humu.

Never say never,nobody knows tomorrow...
Leo hii wewe niliyekuchukia ndiye kitu cha kwanza kunijea ktk akili yangu kila niamkapo.
Lazima nikutafute nikutakie asubuhi njema ndipo mambo mengine yaendelee.

Nakutakia kila la kheri katika makala zako za kusimumua,daima nitakuwa nawe bega kwa bega.
You got my full support my love...
#TheBoldIsMine#
Big up
 
Huyo nae hajui alisemalo,The bold wa kwenye habari za Mbasha ndio alikuwa anachipukia.
Makala zake zilizokwenda shule ndizo zilizotufanya wengi tumkubali huyu mtu.

Honestly say nilianza kumkubali kwenye Geranimo E.K.I.A
Baada ya hapo akaja kunimaliza kabisa kwenye Mifereji ya dhahabu...pasipo silaha,chuki wala ukatili.
Hapa ndipo safari ilipoanzia

Ila ukiniuliza makala kali kabisa kuwahi kutokea ya The bold ni Geranimo E.K.I.A
Nililia machozi!

Very true, mimi sina story hata moja inayoizidi nyingine, kila story unapoisoma unaisoma huku ukiona kuwa hii ni zaidi ya zilizopita, na story zinaisha huku ukiwa unataka ziendelee.

Ila pale aliposema eti jamaa walimwona Spaggiari "Mboga Saba" ninapakumbuka sana.
 
Mkuu @Thebold japo hunijui lakini binafsi wewe ubanifanya niendelee kuwa mdau Wa lile jukwaa la akili nyingi la "jamii intelligence" big up sana...

wewe pamoja na mdau mwingine simuoni siku hizi Tyta mnaniinspire sana..

Mungu akulinde.
 
Nyuzi zako zilinipa ujasiri wa ajabu na nimefanya matukio mawili tayari successful keep it @thebold
 
Mungu wangu! Am speechless.
Sikuwahi kufikiri kama ipo siku nami nitakuwepo katika list yako ya kukumbukwa!
What a honour?
Asante sana The bold.

Ni kweli kabisa, nakiri tulikuwa maadui wakubwa sana.
Kila tulipokutana ktk threads tuliumana kwelikweli, namshukuru Mungu kwa busara alizokujaalia maana siku zote ulijishusha wewe.

Nakupongeza kwa aina ya makala ulizoamua kuja nazo ndizo zilizonifanya niweke silaha chini na kuomba kuimaliza vita.

Kupitia kwako nimejifunza mengi kubwa zaidi ya yote ni kumheshimu kila mtu.
Nilikuchukia kipindi kile,sikuwahi kufikiri kama una akili kubwa kiasi cha kunifanya nianze kuvutiwa nawe.
Hivi sasa nimebadilika sana,namheshimu kila mtu humu JF,nimeamua kwa nia ya dhati kuachana na vita vya maneno na members humu.

Never say never,nobody knows tomorrow...
Leo hii wewe niliyekuchukia ndiye kitu cha kwanza kunijea ktk akili yangu kila niamkapo.
Lazima nikutafute nikutakie asubuhi njema ndipo mambo mengine yaendelee.

Nakutakia kila la kheri katika makala zako za kusimumua,daima nitakuwa nawe bega kwa bega.
You got my full support my love...
#TheBoldIsMine#
Hapo mwisho chacha #TheBoldIsmine# Ahsanteeeeeeeeeeeeeee mama.
 
Tag list' ya The Bold

Kwenye nyuzi zangu zote hawa memba huwa nawamention kwenye post # 2. (Pia nimewamention hapo chini post # 2) Hawa member kwakweli wametisha sana mwaka huu.. Ni wao ndio wananifanya licha ya pilika pilika za maisha, lakini najitahidi nipate muda niandike makala na kuziweka humu! Wananiispire sana, and nawaheshimu sana bcz they got my back.. Salute kwenu wakuu!!
Nasi twakuheshimu mkuu.
Shukrani.
 
Back
Top Bottom