The Bold: Shukrani Wakuu

The Bold: Shukrani Wakuu

ingawa hujanitaja lakn umekua n member ambae unatupaga extraodinary story especially kwa GT.tuombeane tuvuke salamaa ndgu.nazipenda story zako..Mola atubarik wte tufike 2017
One love brother! Shukrani..
 
Brother umenisahau,si tulikubaliana tutafanya Movie ya ile story kule hollwood?nikajua mi ni mshirika mkuu niko kwa akili yako
Nisamehe bure Mkuu G'taxi! Hii Tag list kuna mahali nimeisevu sasa mda mwingine nikipaste hapa inaruka baadhi ya majina.. Ni matatizo ya kiufundi tu mkuu ila upo kichwani mwangu mkuu..
Shukrani kwa support! Ile muvi ya hillywood lazima tutengeneze mkuu

Mniwie radhi pia akina adna yuzo, ntamaholo, Otorong'ong'o, naan ngik-kundie, kandukamo1 na wote niliowasahau hapo kwenye taglist
 
Mpaka unatamani kumnyamazisha kweli inaboa lakini lol

Sanaa tu dada yangu inaboa kwa-kweli! lakini ndio hivyo binadamu tuko tafauti tofauti, na hatuwezi kuwalaumu na wao ndivyo walivyoumbwa.......
 
mkuu @ the bold I truly appreciate your kind words for the efforts I once made.. sikuwahi kufikiri kwamba ingekua na impact kwako na hadi leo nikawepo katika list ya watu unaowapa shukran. I am humbled you know (in Lemutuz voice)

Napenda makala zako huwa zinanifanya niwe kama naona picha lenyewe la tukio zima lilivyokwenda. na most of the time nasoma makala zako usiku wa manane nikiwa nimeshtuka usingizini. Niwe nimetulia no makelele

I am your greatest fan and keep up the good work.
 
Sure...
Let love lead the way.
Thank you
Katika wanawake ninowapenda Nifa is prominentl onez! i wish ningeweza kukutolea hata mahari una mvuto sana! Mungu akubarik sana nakutakia xmass njema pamoja na mwaka mpya! i wish see u one day
 
mkuu @ the bold I truly appreciate your kind words for the efforts I once made.. sikuwahi kufikiri kwamba ingekua na impact kwako na hadi leo nikawepo katika list ya watu unaowapa shukran. I am humbled you know (in Lemutuz voice)

Napenda makala zako huwa zinanifanya niwe kama naona picha lenyewe la tukio zima lilivyokwenda. na most of the time nasoma makala zako usiku wa manane nikiwa nimeshtuka usingizini. Niwe nimetulia no makelele

I am your greatest fan and keep up the good work.
Shukrani sana HOE! You made a big impact katika kipindi kile kigumu nilichokuwa nakabiliana nacho.. Hakuna kitu kizuri kama kujua kuna watu ambao wanajali usalama wako na kukutakia kheri.. Efforts zako kunijulia hali na kunitia moyo zilinipa faraja kubwa sana.. Thank you so much

Asante kwa kusoma makala zangu na nafurahi kusikia you are a big fan!
Shukrani sana Mkuu! Salute..
 
Ni ngumu kushukuru watu wote humu ila kweli itabaki kweli makala zako zinafundisha, zinaelimisha, zinafulahisha kiufupi unasaidia watu wengi sana
 
The bold Mungu akupe maisha marefu yenye fanaka nikutakie maandalizi mema ya kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya.
 
2cd16fd15adcca2435677865acdd5a39.jpg
 
The bold i love you hahaaha...ila vile uko team WCB ndo maana nakukubali mno uko intelligence kichwa kinaumaga
 
Back
Top Bottom