The Bold: Shukrani Wakuu

The Bold: Shukrani Wakuu

0a23e4f72619658204806ec5fa60f04f.jpg
Awwwwww
Halafu nilisahau hii kitu,jamani jamani!
That's why I like you mshana.
Ubarikiwe sana

#TheBold's#
 
WTF?
Kuna kitu unanitafuta wewe mwanaume, nilikuwa nalisubiri kwa hamu sana jibu lako.
Am watching you

Relax mama! She is my sister..

Hakunaga 'Clyde' bila 'Bonnie'.. Siunajuaga mimi vile ni Clyde alafu Bonnie mwenyewe si ndio wewe, basi ndio venye tunakuwaga 'Bonnie & Clyde'
 
Mkuu nafatilia sana makala zako na umenigusa kwenye maisha yangu,na nimeandaa jina PABLO for my comming son if God Wishes, yote ni kuguswa kwa simulizi yako juu ya huyu mtu, urithi wa kudumu ni ule uliachwa kwenye maandishi, BIG UP BRO!
 
Relax mama! She is my sister..

Hakunaga 'Clyde' bila 'Bonnie'.. Siunajuaga mimi vile ni Clyde alafu Bonnie mwenyewe si ndio wewe, basi ndio venye tunakuwaga 'Bonnie & Clyde'
Ooooopppsss
Just know that am watching you anyway...
 
Mkuu nafatilia sana makala zako na umenigusa kwenye maisha yangu,na nimeandaa jina PABLO for my comming son if God Wishes, yote ni kuguswa kwa simulizi yako juu ya huyu mtu, urithi wa kudumu ni ule uliachwa kwenye maandishi, BIG UP BRO!
Woooww! What an honour..
Nafarijika sana kusikia nimegusa maisha ya watu!
Shukrani sana Mkuu, am humbled..
 
Mungu wangu! Am speechless.
Sikuwahi kufikiri kama ipo siku nami nitakuwepo katika list yako ya kukumbukwa!
What a honour?
Asante sana The bold.

Ni kweli kabisa, nakiri tulikuwa maadui wakubwa sana.
Kila tulipokutana ktk threads tuliumana kwelikweli, namshukuru Mungu kwa busara alizokujaalia maana siku zote ulijishusha wewe.

Nakupongeza kwa aina ya makala ulizoamua kuja nazo ndizo zilizonifanya niweke silaha chini na kuomba kuimaliza vita.

Kupitia kwako nimejifunza mengi kubwa zaidi ya yote ni kumheshimu kila mtu.
Nilikuchukia kipindi kile,sikuwahi kufikiri kama una akili kubwa kiasi cha kunifanya nianze kuvutiwa nawe.
Hivi sasa nimebadilika sana,namheshimu kila mtu humu JF,nimeamua kwa nia ya dhati kuachana na vita vya maneno na members humu.

Never say never,nobody knows tomorrow...
Leo hii wewe niliyekuchukia ndiye kitu cha kwanza kunijea ktk akili yangu kila niamkapo.
Lazima nikutafute nikutakie asubuhi njema ndipo mambo mengine yaendelee.

Nakutakia kila la kheri katika makala zako za kusisimua,daima nitakuwa nawe bega kwa bega.
You got my full support my love...
#TheBoldIsMine#
Nimeipenda hiyo HASHTAG
 
Back
Top Bottom