The best place to live in dar.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The best place to live in dar..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Boss, Nov 7, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hivi ukiwa daresalaam,ni kitongoji kipi unaweza
  sema ni the best place to live...

  Vigezo vya kuzingatia ni...
  Aina ya watu....
  Burudani...
  Huduma za kijamii,benki,soko n.k.
  Dating..
  Na vinginevyoo

  mimi nafikiri kwa sasa makumbusho ndo the best place
  kwa vigezi hivyo..

  Wewe unasemaje????
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bongo kote kubaya tu, labda uniambie sehemu zenye 'kujitahiditahidi'
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  The Boss,.. Take Zero from this fellow...He is a CAST in purity!...His NO means Yes...Always!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  ok.unapoona wewe wanajitahidi ni wapi?
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  really?
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hysteria 101
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  what?
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa bongo mitaa inayojitahidi ni mitaa ya O'bay , Masaki, Mbezi Beach, Michokeni I mean Mikocheni na Sinza flani hivi (sio kule Uzuri et al). Ingawa sometimes huduma za jamii kama maji, maeneo ya wazi etc ni utata, pollution ya kelele na utupaji taka hobelahobela ni wa kiwango cha juu.
   
 9. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  hakuna, wewe niambie ni sehemu gani dar unweza kufungua bomba la maji na kunywa au uliyo na umeme wa uhakika namaanisha haukatiki kamwe
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ukiambiwa uchague eneo moja la kuishi.
  Utachagua wapi.bila kujali gharama..
  Na kigezo cha aina ya watu na dating if u r single ukizingatia..
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Napenda kuishi nimezungukwa na wastaarabu, watu wenye kuheshimu sheria za makazi. Na napenda hali ya utulivu, usalama na mitaa iliyopangiliwa. Nadhani Mbezi Beach kwa kiasi flani kuna asavali. Suala la ku-date ni suala skills zako tu, unaweza ku-date hata kule unapopata mkate wako wa kila siku, etc. sio lazima pale unapoishi.
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Aisee nimeishi maeneo mengi, ila labda maeneo ya hovyo zaidi naweza kukutajia, maana mengi ni yakawaida sana ila basi tu.
  maeneo ya hovyo zaidi ni Mtoni Azizi Ally-huku ni kuchafu sana, hakuna mifumo ya maji taji taka, watu wanakojoa hovyo, vinyesi vipo kwenye Rambo.
  Buguruni kwa mnyamani plus eneo linaloitwa tapa, huku kulikua na da,po zamani , maana mifumo ya vyoo vyote imeelekezwa kwenye mfereji ya maji machafu, huku kunanuka sana, vyoo vyote vimejaa.
  Tandale plus manzase kuelekea zamani waliita uwanja wa fisi, huku ni mavi yaliyotapakaa mitaroni, kunammbu wakubwa kama vifaranga, kuna maralia sana, kipindupindu kimepiga kambi hapo.
  maeneo ya hatari kuishi ni maeneo ya kuzunguka kabi za jeshi kama kule kunduchi.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  teh teh teh..Mkubwa unakomelea msumari, ati mbu wakubwa kama vifaranga..lolz

  Ndio maana natafuta shughuli ya kufanya nje ya Bongo Daresalama. Nakubali kuwa Dar ni nzuri kwa kibiashara, ila ki makazi ipo very hopeless, inalazimisha kuchukua watu wengi wakati hakuna miundombinu ya kukidhi maisha ya kisasa.
   
 14. M

  Matarese JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mwanangu nenda mbagala!
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Karibu Mwanza Mkuu, huku mambo yote hayo yanayokukera, kwa kiasi kikubwa yanafanyiwa kazi kwa umakini fulani angalau!
   
 16. S

  Semjato JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  binafsi nadhani Upanga..kumestaarabika,karibu na sehemu nyingi muhimu na kwa shughuli zangu sikumbani na mafoleni..
   
 17. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Huyu nadhani anaongelea sehemu iliyokaa kimikogo zaidi! teh teh, ndy maana amekomalia dating!! wabongo bwana!...............
  .........mimi binafsi napendeleea zaidi kuishi mbali sana na mji, sehemu ambayo nyumba haijazungushiwa uzio na jirani yako wa karibu ni nusu kilomita lakini bado unaweza kulala milango wazi, napenda muonekano wa nchi, napenda kuona mabonde, milima tena karibu na mto, ndege wanalia kwa uzuri, bila shaka sehemu tulivu na salama ni kijiji, unajichagulia shamba kuubwa na kkuboresha makazi maji ni rahisi tu, umeme ni solar na standby generator, muhimu karibu na barabara.
   
 18. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mimi naona kwa vigezo vyako na kwa jinsi hali ilivyo Tanzania best place to live ni kaburini :Aina ya watu: Hakuna mafisadi, hakuna kukojoa kwenye masinki, viongozi hawatukanani hadharani mbele ya watoto na wajukuu.Burudani: hakuna haja ya burudani.Huduma za jamii:Hazihitajiki, hakuna tanesco, dawasco, TRL ya wahindi, watoto hawakalii ndoo darasani, hakuna foleni za kijinga etc.
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Umejuaje?
   
 20. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Aliwahi kufa na kufufuka!!!!

  Tiba
   
Loading...