The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

Huu Uzi umekua bless sana kwa mtu kama mimi Dah! Zamani,kitambo sana ...longtime ago " Sower's group ...sikia" ...Mimi nabarikiwa pia na Upendo group ...1:mambo sawa sawa ...2:Bam bam...3:Mungu akupenda na all songs za Ambassador of Christ Remera Kigali Rwanda """""""" Hivyo yani.'"*
The sower's group
 
Moyoni & unastahili kuabudiwa - Fanuel Sedekia (R.I.P)

Mfalme wa Amani - Solomoni Mkubwa

Ebenezer & Kaa nami - Angela Chibalonza (R.I.P)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom