The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 3, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ya kwangu nambari moja itakuwa ni: "Lulu Iko Mbinguni"

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  mkuu unataka kuanzisha kanisa?karibu inalipa sana
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hapa inabidi uweke wazi...kama ni old skul au za sasa?
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Solomon Mukubwa: Mungu mwenye Nguvu

  Napenda hii verse ' wanipa tumaini la maiiishaa baba yangu, oh duniani, natembea nawe baba yangu, sitakuacha mii ooh, Neema zako fadhili zako kila asubuhi, ni mpya tena zanifariji moyo, niamkapooo, nikikosewa na maisha..wanipa tumaini la maisha baba,,,,'

  Naisikiliza to and from work kwa frequency ya once per week...

  Nikiwa nimeshamshusha husband naongeza volume so loud and I sing on top of my voice !
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Bony Mwaitege -Mama.
  Hapo ndo mwisho wa kila kitu.
   
 6. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mzee Mwanakijiji mi bado namkumbuka sheikh, yani kila siku nafungua iyo clip na nimeshea na marafiki zangu woooote
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,353
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Yeah Madame B huo ni wa kwetu! Mzee Mwanakijiji kasema nyimbo za Tanzania, wengine wameshaanza kuweka za Kenya. Mimi wangu ni NANYATANYATA.
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Umeona ee,
  yani huo ni Mwisho wa Yote hasa kwa Wale wasio na Heshima kwa wazazi wa kike.
  Kunyatanyata ndo ile iliyoimbwa na Kijitonyama singers?
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Martha Mwaipaja - Usikate tamaa
  Kila asubuhi huwa naiskiliza na siichoki
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kama na za mtoni kuna Gaither Vocal Band lol
  Huwa wanagusa moyo huu mgumu
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ewaaaa....huyo dada ananisuuza sana moyo wangu.....bi dada anaimba balaa.....
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Injinia Nsiande nimepapenda hapo.....hebu paandike kwa lugha ya taifa yaani kiswahili tuone inakuwaje..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  palipo na halisi - jerusalem singers
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  Nakaza Mwendo.....Moyo Safi Ungalimied Arusha.
   
 15. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mpenzi yani wewe umepaona hapo tuuu???!!!!mmmmhhhh......we haya we
  :focus: nna nyingi sana zinazonikosha ila nikiamka asubuhi lazma nisikilize hizi nyimbo mbili 'Ni Asubuhi' na 'Anasikia' za Miriam Mauki kwakweli huwa nasikia amani na napata nguvu ya kuanza siku.
   
 16. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kama Kuna Mtu ana link ya nyimbo mbili za Ephraim Sekeleti, 1. Baraka zako 2. Ndani ya Jina..... ewaaaaaa hapo ntampigia makofi nakumpa like ya ziada!!
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,324
  Likes Received: 2,611
  Trophy Points: 280
 18. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mzee, Kuna Kaswida fulani tulikua tunaimba madrass, very nice.
  Sijui niweke hapa? It is to praise the prophet Muhamad (SAW)
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  weka Mwali....as long as sio dansi....ni nyimbo ya ibada....hata kama una ya kibuddha.....jews.....hindu.....kosher nk....lete mambo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwetu Pazuri...
   
Loading...