Nyimbo nyingi za kilokole ni upuuzi tu wanaimba kwa hisia ambazo kimsingi hazitofautiani na hisia za reggae/bolingo/country etc kurudia rudia mananeno ujumbe ziro.....aaagh wanakera sana
Kijana itakuwa elimu yako ni kidato cha pili kwa upumbavu wa comments zako sorry kama nitakuwa nimekuudhi ila ujumbe umefika
Usilazimishe mawazo yako yawe ya wote, ungejua elimu yangu wala usingethubutu kuandika huo upuuzi wako
Ya kwangu nambari moja itakuwa ni: "Lulu Iko Mbinguni"
Sema binafsi yako inakereka maana wengine wanasuuzika na kuabudu. Usiusemee moyoNyimbo nyingi za kilokole ni upuuzi tu wanaimba kwa hisia ambazo kimsingi hazitofautiani na hisia za reggae/bolingo/country etc kurudia rudia mananeno ujumbe ziro.....aaagh wanakera sana
Hivi zikipita siku au miaka ukaja kujisoma utaelewa maudhui ya ulichokiandika kuwa unaupenda wimbo ... Ni upi haswa?utabaki kuwa wimbo bora milele,wanaimba kwa hisia,ujumbe mzuri naupenda sana huu wimbo
1.ANGELA-EBENEZA.
2.GOODLUCK-IPO SIKU TU NAMI NIBARIKIWE.
3.THE SOWER -UMVA (SIKIA)
4.TENDA WEMA USISAHAU MUNGU ANAONA(RING TONE X SHUSHO)
5.CHRISTINA-UNIKUMBUKE.
Mkuu hebu naomba wimbo wa John Lissu wa UPENDO....Nipe uli orijino ambao hajaimba live1.ANGELA-EBENEZA.
2.GOODLUCK-IPO SIKU TU NAMI