Uzi maalumu: Tupia nyimbo za zamani tu

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
Wakuu shwari!!

Ya kale ni dhahabu hii haipingwi wazee.

Iko wazi kama mbuzi .

Nyimbo za zamani hazijawahi kuchuja Wala kupoteza mvuto wake!

Hii ni kwasababu watunzi wa kipindi hicho walitumia akiri na weledi sana kutunga nyimbo zao.

Leo wasani akitoka kushiba au kuvuta bangi kitakacho wahi kuingia kichwani basi atakitungia wimbo.

Sio ajabu sikia nyimbo za matusi au kutukana serkali.

Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa hapo majuu.

Tupia wimbo wowote ule unaopenda/unazopenda

NB : Ni Vyema Na Haki hiyo nyimbo ukaindika jina na mtunzi (msanii) wake.

Karibuni wakurungwa

View attachment 2879123
Naomba unitajie japo wimbo mMoja wa kuitukana serikali.
 
Anaejua jina wimbo huu na mtunzi wake msaada
 
ujumbe muruaa
Pale dodoma maeneo ya zunguni Kuna bar ilikuwepo bar flani Hivi miaka ya 15-17 sijui kama Bado ipo wateja walikuwa ni wajeda

Hii nyimbo ya shilingi ya ua ndo ilikuwa inafungua Kila Leo

Kama sikosea Ile bar ilkuwa inaitwa makula ndani ndani huko
 
Back
Top Bottom