The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

mie, hakuna mtu mwenye uwezo wa kunifanyia baya, na atakae jaribu, ukoo wake wote utateketea hata nzi wa maeneo jirani na mmbu hawato salimika, na ukame wa hatari mahali walipo zaliwa, umesikia shemeji yangu mpenzi Passion Lady
 
Last edited by a moderator:
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...yggIAE&usg=AFQjCNHTwuUWtiQpC2B820t8Hq6jk_ljhw

Nyimbo za tenzi na kitabu cha kilutheri huwa zinanipa faraja kweli. Bila kusahau nyimbo za wasabato
Huu wimbo:
MUNGU AMENIHURUMIA
TENDO HILI KUBWA SANA
SIKUSTAHILI JAMBO HILI
NIMELIPATA BURE TU
SASA NAJUA HAYA YOTE
NASIFU HURUMA YAKE
huwa nikiuimba na machozi yananitoka.

Kuna wimbo wa kisabato unaitwa U MWENDO GANI NYUMBANI. huu sijaupata kwenye audio kwa hiyo naughani akapela.
 
mimi jamani huu wimbo kama nimechanjiwa, lol!
 
Last edited by a moderator:
Uliniumba Nikuabudu- the most theologically profound song..

Ule wastahili sifa za moyo wangu..nakuabudu ee Mungu wangu..nakuabudu Ee Yesu anapenda kuuimba Mwl Mwakasege.
Sijui muimbaj nani
Mzee Mwanakijiji Natumaini unazungumzia Ule wimbo unaimbwa kwenye kuabudu ktk semina za Mwakasege na si Angela Chibalonza
Naupenda sana wimbo huu lakini sijui nitaupata wapi, nimegoogle sana na kuuliza kwa wauzaji bila mafanikio
 
Last edited by a moderator:
The late Fanuel Sedekia....Manukato, Angela Chibalonza- Ebenezer, Emachichi- Iende mbele injili
 
Nyimbo za noteni zimepangiliwa sauti wameimba kwa ustadi napenda sana sauti zao walivyozipangilia wako vizuri km kkkt kimara, kkkt kwaya kuu sinza na nyinginezo
 
Christina Shusho "Thamani ya wokovu wangu", "Nipe macho," "Napenda".

Upendo Kilahiro "salama rohoni mwangu"

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom