The 10 most beautiful East Coast female radio presenters

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Points
1,195

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 1,195
wana vitambi lakini kiukweli unajua itakuwa ngumu sana wewe kumdate huyo kidosho hapo. labda kama unamwaga hela. hawa si superficial kama akina Wema, na si rahisi kuwadanganya na lyrics za diamond kama hivi videmu vya dar, they have brains too na najua hio ndio cryptonite ya vijana wengi bongo. usharobaro na ubanaji pua unadhani madame wa Kenya wanafagilia? Najua utasema hata hauwataki hao madame wa Kenya, lakini swali ni, unadhani hao mademu watakutaka without anything to offer excep your ''good looks'' na lyrics za kaka diamondi?
Hahahaha...taratibu kamanda!
 

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
5,117
Points
2,000

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
5,117 2,000
Sure mkuu. Halafu pale tuambatanishe na beaty queens wa Tz. Watanzania warembo hasa, hata wakenye wenyewe wanakubali kwa East Africa wa kwanza ni Rwanda, pili Tz, tatu Uganda, nne Kenya na Tano Burundi. Ha ha ha maoni yangu mkuu. Wengine wanaweza na mtiririko tofauti.
Wewe jamaa mbumbumbu sana hata hujielewi. Burundi and Rwanda are just one people separated by a political boundary (Burundi 85% Hutu 15% Tutsi, Rwanda 85% Hutu 15% Tutsi). Sasa inakuwaje Rwanda ndio warembo zaidi name Burundi ndio Sura mbaya zaidi? Wengine wenu hububuja tu maneno bila kuelewa wanachosema.
 

hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
733
Points
500

hydrogen

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
733 500
Bongo lazima tuponde coz tumezoea mkorogo kila sehem, kwngu mimi naona hawa mabinti ni wazuri sana tu. wengi wanasema ni wa kawaida coz hawana fake hair, sio weupe, na kwa waliopaka make-up basi kwa mbali. Ninachowasifia mabinti wa kenya hadi kesho ni KUJIAMINI nothing is more attractive.
 

SiimaK

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
341
Points
0

SiimaK

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
341 0
Wanaume wa Kenya waache ukabila wajaribu kuoa kwa jirani yao Kagame wachanganye damu wazae watoto wazuri lakini wasipofanya hivyo sura zilezile zitajirudia.
Watizame watanzania tunaona makabila tofauti na hata mataifa tofauti ndio maana unakuta wengi wanamvuto.
 

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
5,541
Points
2,000

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
5,541 2,000
Nyi watu hua mnalala kweli.... As the artcle says, from east coast mombasa, What gets you into becoming a radio presenter is your voice, your charming, your charcter, someone decided to rate them according to his own opinion(beauty is in the eyes.....), that doesnot mean they are the only female presenters in the coast...
wats wrong with you people, ati kenya is running out of beautiful people, kwani wanakufa?
 

Forum statistics

Threads 1,382,188
Members 526,298
Posts 33,821,601
Top