Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
wana vitambi lakini kiukweli unajua itakuwa ngumu sana wewe kumdate huyo kidosho hapo. labda kama unamwaga hela. hawa si superficial kama akina Wema, na si rahisi kuwadanganya na lyrics za diamond kama hivi videmu vya dar, they have brains too na najua hio ndio cryptonite ya vijana wengi bongo. usharobaro na ubanaji pua unadhani madame wa Kenya wanafagilia? Najua utasema hata hauwataki hao madame wa Kenya, lakini swali ni, unadhani hao mademu watakutaka without anything to offer excep your ''good looks'' na lyrics za kaka diamondi?
Hahahaha...taratibu kamanda!