The 10 most beautiful East Coast female radio presenters

Hao wasikuambie kitu...wawajua warembo wa afrika nzima wewe? Lulu amekuwa katika kumi bora..upo!
 
Kwa kweli wakenya wakawaida sana! Ndio maana dada yetu wa bongo Namtero Mdee aka 'tero' alipoenda huko aliwachanganya na kuwakoroga akili zao!
 
Kwa kweli wakenya wakawaida sana! Ndio maana dada yetu wa bongo Namtero Mdee aka 'tero' alipoenda huko aliwachanganya na kuwakoroga akili zao!

Wabongo huwa mnaishi vipi na wake zenu, maana ukishaona mwanaume mwenye ubaguzi kwa dada yeyote kwa misingi ya nchi huyo ana mapungufu ya kila aina. Lazima mna matatizo sana wanaume wa Kitanzania. A man is supposed to appreciate beauty in every woman, kila dada ana urembo kiaina, ukitaka kuona mabaya utayaona tu kwa kila malkia.

Mambo kama haya ndio hufanya wanaume siku hizi ngoma kitandani ni magumashi, maana umekomalia kuangalia mabaya.
 
Acha maneno mengi wewe, unaongea mno!!
 
Acha maneno mengi wewe, unaongea mno!!

Hahaha! na nitaongea sana, mwanamke yeyote bora umvishe, mlishe, mpende, muheshimu na atakuwa mrembo na mtamu kuliko maelezo.

Beauty is in the mind not just eyes. Hata mkeo ambaye mmezoeana kwa miaka mingi, siku moja mfanyie mazuri ya ghafla, afu mpeleke kwenye camp zile za mbugani ama kwenye beach, utaona jinsi mtoto wa watu atarembeka ghafla. Hutaamini ni yule mkeo na atakuwa na utamu wa kiaina hata kitandani.
 
Kwenye shughuli hali inakuwaga tofauti na hayo mabusu

Unless wewe uko tofauti, mimi ninachofahamu tukiwa kwenye shughuli wote huwa machizi, hamna cha kuangalia nini wala nini, eti kitambi, eti hajasoma na mengineyo. Huwa mnaingiana na kuisahau dunia.

Wewe unafikiria nini kinafanya mtu unamramba dada humo humo kama sio chizi. Huwa mnapata fahamu baada ya orgasm na kutulia kabla uwazimu haujarejea tena. Huo ndio utamu wa ngono, kujisahau na kuwa chizi.
 
Unless wewe uko tofauti, mimi ninachofahamu tukiwa kwenye shughuli wote huwa machizi, hamna cha kuangalia nini wala nini, eti kitambi, eti hajasoma na mengineyo. Huwa mnaingiana na kuisahau dunia. Wewe unafikiria nini kinafanya mtu unamramba dada humo humo kama sio chizi. Huwa mnapata fahamu baada ya orgasm na kutulia kabla uwazimu haujarejea tena. Huo ndio utamu wa ngono, kujisahau na kuwa chizi.
yaani baada orgasm na kutulia ...basi nikifikiri/ au kuona huyu dem ana kitambi hapohapo appetite ya round ya pili hupotea, bahati mbaya ukute hicho kitambi kina mikunjo mikunjo lolololh, in fact dem mwenye kitambi huwa si priority yangu
 
Hahaha bana wee naona huna raha dunia hii, yaani hata mabinti ingekua wanatuangalia mabaya, hata kutukaribia ingekua ngumu. Ukipumzika baada ya orgasm usihangaike kumuangalia chochote kitakacho ku-turn off. Tulia hadi uchizi uje tena.
 
Yaani ni huwa nachukua all precautions ili nisije nikakutana na demu mwenye kitambi
 
Yaani ni huwa nachukua all precautions ili nisije nikakutana na demu mwenye kitambi

wana vitambi lakini kiukweli unajua itakuwa ngumu sana wewe kumdate huyo kidosho hapo. labda kama unamwaga hela. hawa si superficial kama akina Wema, na si rahisi kuwadanganya na lyrics za diamond kama hivi videmu vya dar, they have brains too na najua hio ndio cryptonite ya vijana wengi bongo.

Usharobaro na ubanaji pua unadhani madame wa Kenya wanafagilia? Najua utasema hata hauwataki hao madame wa Kenya, lakini swali ni, unadhani hao mademu watakutaka without anything to offer excep your ''good looks'' na lyrics za kaka diamondi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom