The 10 most beautiful East Coast female radio presenters

eastafrican coast haiishii kenya bwana!
Mnamkumbuka Amina Chifupa? ndio uzuri huo
 
Wanawake wa Kikenya huwa wanafanana na baba zao.

haiya, wacha nijaribu ku demistify hii uwongo huwa mna peddle yakuwa Kenya hamna warembo.. sijui kupost picha lakini acha nijaribu
300880_395137020554039_1534753423_n.jpg
224628_395137710553970_399559619_n.jpg
427106_395138007220607_838652726_n.jpg
 
wengine happa, ilikuwa kwenye anniversary ya skylux club mjini nairobi, picha ni za kwenye mtandao

484619_395141697220238_967649150_n.jpg
387139_395424220525319_1180406616_n.jpg
304953_395136737220734_402087441_n.jpg
224756_395138830553858_2131130590_n.jpg
423564_395146733886401_1865627396_n.jpg
486487_395144963886578_5505657_n.jpg
579941_395424147191993_1194371411_n.jpg



Haiya, watoto wa watu warembo.
 
mnhhh...kama hawa ndio "the most beautful wao" nadhani jirani zetu wanahitaji haraka sana msaada wa "mademu wakali”

Inaashiria ikija olympic ya mademu wakali jirani zetu wanaweza waje hapa kwetu kusherehekea nasi hizo medal za gold maana sioni hata wakishika nafasi ya 10 kwa africa tu.
 
Wakenya madem zao wengi ni wabaya sijui kwa nn angalau maeneo ya coast coz wana asili ya kiarabu so beautiful ila ukienda Nairobery lah! lah! lah! lah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom