Thanks michuzi blogspot

Status
Not open for further replies.

As long as viongozi wetu wanapatikana kwa mfumo wa kisiasa, ni lazima mwisho wa uchaguzi mmoja utakuwa ni mwanzo wa uchaguzi mwingine, kwa walioshinda kutekeleza ahadi zao ili wakubalike tena kwenye uchaguzi ujao, kwa walioshindwa kuangalia walipojikwaa, na kwa wenye ndoto za nafasi mbalimbali za kisiasa kuanza michakato mbalimbali ya kufanikisha ndoto zao kwenye chaguzi zijazo, hilo halizuiliki.

...Tunachopaswa kuboresha ni uhakiki wa vigezo tutakavyovitumia kumpatia mtu nafasi ya uongozi, umefika wakati sasa tuwe makini kuangalia fikra, uwezo na record za wagombea na vyama vyao ili kujiridhisha kama kweli wana uwezo na utayari wa kuzimudu changamoto tulizonazo kama Taifa, tusipoboresha hapa na kuishia kuimbaimba tu verse ole wetu..
 
we mtoto weh!!!

yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hivi huo uhandsome una nini na watanzania? Sijajua kinachowasibu watz na uzuri wa sura. Nyerere aliuliza mnataka handsome ili mpose au? Kazi ni kwenu watanzania.
 
Mkuu wewe mchokozi sana, yani unaunga mkono Dovutwa before membe??

On a serious note... point yako ya kuchagua kiongozi aliye busy na uchaguzi ujao ndilo tatizo letu, si madiwani, wabunge hadi urais

Upuuzi mtupu huu
 

mabadiliko ya katiba ndio suluhisho
 
Laiti kama vetting ya viongozi wetu ingekuwa inafanyika hapa JF, tngempata malaika au tukabaki bila kiongozi!
absolutely right mazee............ miafrika ndivyo tulivyo
 

I am sensing a whiff of sarcasm in your posts in this topic! But others are foaming at the mouth about them. Dunno why...
 
I am sensing a whiff of sarcasm in your posts in this topic! But others are foaming at the mouth about them. Dunno why...
NN, just keep sensing a whiff of sarcasm, ila mimi chaguo langu la 2015 kwa CCM ni Membe, you can have your choice na kila mtu yuko huru kuwa na chaguo lake. Kwani JK alipopitishwa, alipitishwa kwa vigezo gani?, na performance yake pia si tumeiona!, sasa mimi nasisitiza, baada ya JK, Membe ndio the best option, nawaomba wana jf wenzangu, niungeni mkono kwenye hili.

Kwa siasa za bongo, you don't have to be a person of integrity to climb to the top office, zengwe likipigwa vizuri dhidi ya serious, contenders, tunampata rais tunayemtaka na si mwingine ni Membe.

Kwa msiojua siasa za CCM, mlifikiri kitendo cha kum elevate Yusuph Makamba kuwa CCM SG, was a game of chance!, no!, it was a pre meditated move, na sasa ndio tunaanza ground work ya Membe, tusaidiane ili awe yeye ili wajameni mtusaidie na sisi wengine tutoke!, kwani Salva alitokaje?. Kama Membe atafanikiwa, najua kule nafasi ya Salva atashika nani, ila nami nitapata kajinafasi japo cha kufungua geti kwenye zile ofisi za kivulini, kwa sasa mwenzenu juani na kwenye mavumbi ndio eneo langu la kazi, tufike mahali na sisi tufanyie kazi kivulini, na Membe ndio my only hope, nisaidieni jamani!.
 
mabadiliko ya katiba ndio suluhisho

Siamini kama katiba peke yake ndio mwarobaini wa matatizo ya uongozi wa Tanzania, tatizo kubwa lipo kwa wananchi wenyewe, tusiisingizie katiba kwa kuukimbia ukweli.
 

Pasco ulichokiandika ni Fallacy, kwa tafsiri ya kawaida, inamaanisha ni uongo ambao ukiuangalia haraka haraka unafanana na ukweli. Hebu tuangalie na hii: Jeetu Patel ni Mhindi. Mhindi ni mmea, so Jeetu Patel ni Mmea. Je kuna ukweli hapa pia? Likewise katika mtazamo wako!
 
Siamini kama katiba peke yake ndio mwarobaini wa matatizo ya uongozi wa Tanzania, tatizo kubwa lipo kwa wananchi wenyewe, tusiisingizie katiba kwa kuukimbia ukweli.
haya.. Hatusingizii katiba
 
Jamani mambo bado kabisaa. Tusubiri angalau 2013 ndio tutajua upepo umekaaje. Sasa hivi ni vigumu kujua nominees watakuwa akina nani. Tunajaribu tu kufanya guesing. You may be taken by supprise mkimjua mtu anayeandaliwa. Let's be patient

Nadhani hapa ndo tunapokosea. Iwapo watanzania wanaostahili kumchagua rais wao wananyimwa haki ya kumchagua na badala yake mtu anaandaliwa na kundi la watu kwa ajili ya faida ya kundi hilo tusingoje miujiza tutaendelea kuwa maskini tu kwani anaekuja lazima aendane na matakwa ya wale waliomweka na wala si watanzania. Inauma sana hii wandugu!
 

Peleka pumba zako huko. Anayestahili kuimbiwa nyimbo za sifa na mapambio sio membe wala lowassa wala wewe bali ni MUNGU MWENYE ENZI
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…