well, well, well.. naona umeshaingia kingi tena, siku nyingine akikutenda usije kunisumbua kununua matishu ya kukufuta machozi. Sawa mama?
kale kameshiba, kameenda kulala. Huyu mwenzake anahitaji concern yetu aisee.. Save the children!
hatabiriki huyu.....kwanza nina mpango wa kummimina mazima......halafu umeniuzi.....
halafu we Jamaa wewe!!
picha yangu hiyo mkuu, enzi zangu hizo... Save the children
otea..
kama nini.....?
otea..
- sijapata usingizi...
Hapa naona kunakuchakachuliwa...ila bebi ucjari..leo utapata tu usingizi
sogea huko....
:washing:....................:shock: