Thanks God...............

Ila uongo mwingine aisee, yaani mtu anaokotwa hivi hivi!!
 
Ila uongo mwingine aisee, yaani mtu anaokotwa hivi hivi!!

halafu ukute ameamini na kuridhika kabisa kuwa alichoambiwa kimetokea kweli..
 
Heee heee!hapa kwetu neiba kaoga kaupara na red drec mchuchumio wa ukwee kapi kwa neibas tumuone alivonoga anamsubiri mchuchu aje ampick lol tangu saa moja anachomeshwa mahindi hapa jamaa kila dk anasema yuko kwenye folen mara niko jiran,mda ulivoenda akawa hapokei cm na sasa hapatikana shost machozi yamekosa brake yanamwagika na kuosha mapouda yote lol!jamaa hajatokea wala nn,tumshauri alale tu ndio imetoka asubiri mwakan tena lol!
 
hahahah.......hakunaga mapenzi dada!!! Lol
 
leo nawadip simu zinaita.....sasa kuwakomesha na mimi nimezima simu......kudadadeki....

Kumbe ulinizimia simu eeh...ndio maana nikawa nashangaa tu pale Kerby Hotel mwenyewe tu...dah.. na chupa yangu ya RED WINE mtoto umenitenda ujue
 
Kumbe ulinizimia simu eeh...ndio maana nikawa nashangaa tu pale Kerby Hotel mwenyewe tu...dah.. na chupa yangu ya RED WINE mtoto umenitenda ujue

ujue nimekununia.....kwa siku mbili.....

Na waliofanikiwa je,
akina TheBoss na wengineo watupe story
zilivyokuwa jana bana.
 
ujue nimekununia.....kwa siku mbili.....

Usifanye Hivyo bebi...kinywaji chako bado kiko...ila msosi nilifunga nikaenda nao home..siku mbili kwangu naona miaka mia mbili
 
Usifanye Hivyo bebi...kinywaji chako bado kiko...ila msosi nilifunga nikaenda nao home..siku mbili kwangu naona miaka mia mbili

sitaki nakwambia....huwezi kunifanyia vile.....valentaini dei......
nililia mpaka kope zangu zikang'ofoka......utazilipa ujue.....

sitaki nakwambia....huwezi kunifanyia vile.....valentaini dei......
nililia mpaka kope zangu zikang'ofoka......utazilipa ujue.....

Bebi usijari kope tu..tutaenda Shear ...kununua...
 
ya Brazil imekuwa common sana bana.....nataka ya kutoka Iceland......

Oooh..ok!....wala usijari ..sasa nitalipa kabisa then wewe nenda tu ukachuke sawa..lini utaka kwenda kuchukua
 
ya Brazil imekuwa common sana bana.....nataka ya kutoka Iceland......

well, well, well.. naona umeshaingia kingi tena, siku nyingine akikutenda usije kunisumbua kununua matishu ya kukufuta machozi. Sawa mama?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…