Thank you so much Dear Ex

Thank you so much Dear Ex

Ningemwacha si kwa sababu kanisaliti au kazini, sababu ni karuhusu nifahamu. Mwanamke mjanja ambaye hajanidharau angemkana huyo na matusi angemtukana maana anajua ni short term mngono na mm ni mumewe. Ukweli ni kwamba wanawake wengi sana wanaliwa pale wanapopewa msaada au wanahitaji msaada. Wengi sana.
Well umenifungua kidogo mkuu, so tunakubalina kuwa swala la kuchapiwa ni kawaida ila usije ukajua, right?
 
(Men i was down as ****, hasira ziliisha nikabaki kama fala sijui nifanye nini nilimuonea huruma mpenzi wangu "M" on the other side roho iliniuma kuchapiwa tena na prof ninaemjua .

Nilikuwa kwenye wakati mgumu sanaa nikashindwa hata nifanye nini nikakubaliana na hali halisi na ombi lake la kuwa na prof, lakini nafsi yangu iliniuma sanaa na kujiona falaa kwa umasikini wangu, niliuchukia umasikini, roho iliniuma zaidi nikifikiria mwanamke wangu akiwa anageuzwa geuzwa kitandani na prof.)

WANAUME WENZANGU
Umasikini ni dhambi

Ukiwa masikini hata ukioga kwapa lanuka

Ukiwa maskini kuku wako atakudonoa

Masikini huonekana hana hata busara

Maskini hana rafiki wa maana

Maskini hamiliki demu mkali

Maskini akitongoza anaonekana anapiga
kelele

Mimi nsuchukia umaskini kwa moyo wangu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuuchukia umasikini mkuu,
 
Nilichokisoma ulitaka tu tujue kuwa now upo vizuri kiuchumi na u can go abroad for vacation,hongera sana mkuu,keep struggling and hustling
 
Well umenifungua kidogo mkuu, so tunakubalina kuwa swala la kuchapiwa ni kawaida ila usije ukajua, right?
Wanawake ni binadamu, ni mara chache sana itatokea kuwa mpenzi wako asivutiwe na mtu mwingine nje au asishawishiwe akashawishika. Na hata ikitokea hajawahi toka nje basi lazima mara moja moja ata emagine yupo na huyo mtu anafanywa. Asipoemagine atatamani.
 
Nilichokisoma ulitaka tu tujue kuwa now upo vizuri kiuchumi na u can go abroad for vacation,hongera sana mkuu,keep struggling and hustling
All is well mkuu.
Sijasahau kuwa Tanzania ni nchi pekee ikiongozwa na rais wake ambapo kujisifia umasikini ni jambo jema.😂😂😂
 
Wanawake ni binadamu, ni mara chache sana itatokea kuwa mpenzi wako asivutiwe na mtu mwingine nje au asishawishiwe akashawishika. Na hata ikitokea hajawahi toka nje basi lazima mara moja moja ata emagine yupo na huyo mtu anafanywa. Asipoemagine atatamani.
🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️
 
Back
Top Bottom