Thank you so much Dear Ex

Thank you so much Dear Ex

Story nzuri ila Hapa ndipo ulipojidanganya "Lakini anakili kuna kitu kimoja tu kinamiss kwenye maisha yake(that's Me) , "

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajidanganya yeye mkuu mimi nilishamove on na maisha yangu kitambo tu, hiyo ni kauli tu huwa anapenda kuitamka mara kwa mara.
 
Hivi katika umri wa chuo unadirikije kua na mausiano ya kimapenzi yaliyosirious? Unajua kabisa ukimaliza bado unayo miaka si chini ya mitatu ukiwa unasaka chapa..mtoto gani wa kike atakusubiri na akuvumilie kwa wakati huu?

Kama unarohoo ya kupenda basi usiwe na wivu..chapa na uvumilie unapochapiwa; mimi rohoo ya kupenda nimeanza kua nayo baada ya kuoa lakini kabla ya hapo hapana kwakweli.
Hayana kanuni mkuu,well shukrani kwa ushauri wapo vijana wengine wa chuo watapita hapa wanaweza wakaondoka na ushauri wako, mimi nilishapita huko tayari.
 
For sure chief, ndio lengo hasaa la uzi huu.

Unaweza kuja kushangaa sehem ya tatu ya movie mkaoana na huyo unaemuita Ex.

Umenikumbusha movie moja iliitwa the notebook kama sio the diary sina uhakika ila jamaa alikosa girlfriend kisa familia duni, hayo machungu aliyawekeza kupambana na maisha hadi akatoboa.

Alaf yule binti jamaa alikua mdau wa uzi wa kimasihara.
 
Haha nishalifikiria hilo, lakini najua ni ngumu sanaa, sio rahisi ukizingatia ni muda sasa ushapita na kila mmoja kashapita kwenye majanga yake ,mpaka hapa nimeamua kuwa committed na kuchill, hakuna kurudi nyuma na ikitokea basi nitaamini Mungu alipanga tuje kuwa pamoja.
 
Back
Top Bottom