Thank you so much Dear Ex

Haha shida zote za nini T-Bagwell kikubwa ni kuzingatia lesson uliyopata tu, by the way ilishatokea na maisha lazima yaendelee.
Utakuwa na roho nzuri sana, Ingekua mimi ningempiga tukio Prof. Either kwa mke wake or mtoto wake alaf namalizia kwa mdogo wake au dadaake Dear X.

#Bagwell
 
I see 😅, hapo maana yake unatakiwa uache shughuli nyingine kwaajili ya kukamilisha yote hayo??
 
Mimi kuna kitu nimeona kwa hawa mabinti wa chuo. Ni kwa nini wote huwa wanakuwaga na shida ? Katika maisha yangu ya ubaharia nilishakutana nao wengi tu, na wote walikuwa na shida, mara baba kakwama mara hivi.
Tukirudi kwenye mada yako, nakupongeza kwa kufanya maamuzi sahihi japo kwa kuchelewa. Sema baharia na wewe unafeli sana unapoona kwamba ni halali yako kumlipia kodi ya nyumba na majukumu mengine madogo dogo. Nyinyi ndio mnaofanya hawa watoto wa kike waone ni haki yao kupewa hela na hadi wanadai na ya kutolea.

Ila kila la kheri mkuu, tuendelee kupambana
 
Nimekusoma mkuu, tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom