Katika dunia ya Leo, pesa ndio kila kitu mkuu asikudanganye mtu.
Wacha niendelee ku-hustle

mawaidha yote yale uliyokuwa unanipa jana kumbe ulikuwa unanijaza ujinga tu 
umenishinda tabiaRafiki, kivipi?? Sijasema niwe kama MO eti rafikimawaidha yote yale uliyokuwa unanipa jana kumbe ulikuwa unanijaza ujinga tu
umenishinda tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki, kivipi?? Sijasema niwe kama MO eti rafiki
Inaendelea.....
Nilifikiria sanaa nikajisemea anyways yule ni wangu tu na atabaki kuwa wangu, huku nikijipa moyo kwanza prof wala hapendwi, alafu anakula tu ile kitu wala haiondoki (ilikuwa ni kujipa moyo tu).
Well nilirudi zangu mkoa kupambana lakini trust me kama wiki mbili zilizita hivi akili yangu yote ikawa inamuwaza "M", nikawa nashindwa kufanya hata kazi muda wote nawaza saizi "M" ndio anakazwa na prof labda, usiombe nipige simu isipokelewe, ni wivu tu ukawa umenijaa napata picha kabisa prof anamkamua demu wangu akili ikawa imenitoka kabisa. Aisee hii kitu ni ngumu wakuu, ujue kabisa unachapiwa demu wako, hapana!
Nilikaa chini kutafakari, sikuweza kumshirikisha mtu yoyote swala lile, ingekuwa aibu sanaa kwangu, unaanzaje kumuhadithia mtu kuwa unachapiwa?? Honestly ile kitu ilinitoa mood sanaa nikaona siwezi kufanya lolote na nilimpenda sanaa "M" nakumbuka nilishika simu na kuandika ujumbe mfupi tu kwenye simu.
"Mimi ni kijana na bado napambana, sijui lini nitafanikiwa, i feel like i can't afford you anyway, naomba nipambane na maisha yangu, i wish you all the best, nitakupenda daima"
Hii text niliirudia zaidi ya mara 20 kuisoma kabla ya kuituma, roho iliniuma kwakuwa sikuwa na mchukia "M" na nilimpenda sanaa, na kile alichokifanya kilikiwa sahihi kwake kwa kipindi kile, lakini kwangu ilikiwa ni mwiba mchungu sanaa. Lakini hakukuwa na namna ambayo mimi ningepata amani ya moyo zaidi ya kutuma ile text na ikawa text ya mwisho kuituma kwa "M" kwa mwaka ule.
Yale yaliyotokea kwangu ilikuwa kama ndoto sikuamini kama ndio nimemuacha "M" nafsi yangu ilitaka kurudi nyuma lakini niliumia sana kile kitendo cha kugongewa, kilinivunja sanaa moyo. Nilijipa moyo kama ameweza kuliwa saizi kisa amekosa ada na kodi vipi huko mbeleni??
Niliichukua ile kitu kama changamoto ya kupambana na njaa, ilikuwa kila nikimkumbuka "M" ndio nilikuwa napata nguvu na hamasa ya kupambana huku nikijiambia Umasikini ni kitu cha kuogopwa sanaa, niliamini kukosa kwangu pesa ndio kulisababisha yote yale , niliapa kufanya kazi kwa jasho langu lote mpaka siku moja pesa iwe rafiki yangu, "M" alinipa lesson ya maisha kuwa Pesa si kila kitu ila ni kitu muhimu sanaa kwenye maisha ya binadamu.
Hivi sasa ni miaka imepita "M" amemaliza chuo na anafanya kazi kwenye organization fulani nzuri tu ambayo probably ni mkono wa professor, anaishi yale maisha aliyokuwa anayaota. Lakini anakili kuna kitu kimoja tu kinamiss kwenye maisha yake(that's Me) , huku mimi nikiwa nimemove on na maisha yangu huku nikikiri kuwa sasa sina urafiki na umasikini, Chenji ndogondogo za kwenda vacation abroad its not a big deal. (am not bragging though ) , tuna mawasiliano mazuri tu na Ex wangu "M" na maisha yanaendelea.
"Everything is possible for those who believes"
Cheers![]()
Sijasema hivyo. Wewe ndio umesema kwenye hii dunia kama huna pesa huna tofauti na kukuUmesema mwenyewe kwamba katika maisha haya pesa ndio kila kitu, yaani kwenye hii dunia kama huna pesa basi huna tofauti na kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio. Mimi ndio nasema hivyo, yaani nakubaliana na point yako hiyo halafu nimejazia na nyamaSijasema hivyo. Wewe ndio umesema kwenye hii dunia kama huna pesa huna tofauti na kuku
Thanks mkuu, tushasahau now maisha yanaendelea.Pole Sana ila ni vyema ulivyopambana kufikia ulipo.
Story yako inanikumbusha rafiki zangu fulani hivi wa miaka hiyo..dah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni binadamu, ni mara chache sana itatokea kuwa mpenzi wako asivutiwe na mtu mwingine nje au asishawishiwe akashawishika. Na hata ikitokea hajawahi toka nje basi lazima mara moja moja ata emagine yupo na huyo mtu anafanywa. Asipoemagine atatamani.
Nasubiri mkuu.
Point yangu ipi?? Nikumbushe hebuNdio. Mimi ndio nasema hivyo, yaani nakubaliana na point yako hiyo halafu nimejazia na nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimbembeleze Abouy kwanza hebu
Hajalala mpaka sasa? Unamkeshesha mtoto weweNgoja nimbembeleze Abouy kwanza hebu
Asante, It was just a part of life, and that's why namshukuru coz alinipa spirit ya kupambana zaidi mpaka nimefika hapa nilipo now.
For those who dont believes hali ikoje ?Inaendelea.....