Thank you Mr Rocky

Thank you Mr Rocky

Mh............. Mbona wa kawaida sana kipindi tunaimba kwaya pamoja?........ Au alienda India kuongeza ujuzi eeh?....... Haya mamaaa Mamndenyi jinafasi kwa raha zako

Semegi sweetlady kidoogo niwekee sawa, unasema mliimba nae kwaya.
So far uliimbanae hadi mkahitimu nae au mlihitimisha kuimbanae kabla hamjahitimu ?
 
Last edited by a moderator:
imagesCA28G801.jpg
Mamndenyi wanachonga sana mara macho juu wengine wivu kibao umewajaa
Ila Asante sana na always in my heart
Asante sana Dear na nakupenda sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom