Thank you America God bless you!

Thank you America God bless you!

c4c12007309ee5daeb719a235f798d31.jpg
 
Aiseee! Yaani hata huu wema wa wazungu kuna viumbe wanabeza? Tumeona hapa Watanzania tena viongozi wamebugia rambirambi tukang'aka mnawatetea. Hivi unashindwaje kushukuru aliyejitolea bure halafu umsifie kibaka? Huzuni, huzuni, huzuni!
Moisemusajiografii....mbona kama ninakufahamu kaka?
 
USA BAby .... kale kabendera na kamtu jamani namiss Nyani Ngabu!
 
Sishawishiki na yeyote U.S(WEZI WA MADINI YETU & WAUWAJI WA WALIBYA,IRAQ N.K) wala [HASHTAG]#WALARAMBIRAMBI[/HASHTAG]. GOD BLESS ALL NATIONS.
 
Back
Top Bottom