Thank you America God bless you!

Thank you America God bless you!

Una matatizo wewe. Nimeishi Marekani lakini treatment niliyoipata, niliipata kwa wazazi wangu tu miaka dahar iliyopita. Asikwambie mtu majority ya wamarekani wana nyoyo nyeupe sana. Huwezi kufananisha na nyie akina terrible teens.
Mkuu na mimi nimepita huko Marekani.
Mioyo ya individual Americans ni tofauti kabisa , tena kwa sana na Serikali yao.
Huu moyo ulioonyeshwa wa kujitolea kwa kuguswa tu na hao watoto, unwezekan tu kama mtu hana moyo uliojaa mchafuko moyoni.
 
Masopakyindi said

God Bless America.

Nami nasema: God bless Samaritan Purse.
 
American is vampire but not all....wapo ki maslahi japo sio wote
 
Unashawishika na kudanganyika kirahisi sana, Amerika ni evil Empire!
Acha kuongea usenge wewe.. Bila marekani na misaada ya dawa za vvu ukimwi ungwasambatisha bongo. Marekani inaisadia sanaaa bongo ktk nyanja nyingi.. Kuwa na fadhila ndugu.
 
Kwa kweli pamoja na watu qenfi kubeza juhudi za stemm doctors na samaritan purse bado tuna jambo la kujifunza katika jamii zetu. Tunaweza kuwa chachu ya kubadili maisha kwa roho ya kutoa japo kidogo. Tumezungukwa na wahitaji na kila mtu ana nafasi ya kisaidia . Imagine mtaa au kikundi kikiamua kutoa msaada wa kumsomesha mtoto mmoja tu muhitaji mfano kila familia ikatenga 20,000 kwa mwaka mkajikusanya familia 30 tu je hapo hamjabadilisha maisha ya mtu?
Wenzetu ndio wanachofanya ...small individual donations makes big impact . Badala ya kuwaza nini agenda ya wenzetu hebu tumshukuru Mungu walau kwa zawadi ya maisha na afya watoto wetu wanamepata. Na badala ya kusema haya ni maigizo he u basi nasisi tuigize katika jamii zetu.
 
Sio America tu, wazungu wana roho flani amazing.
Kuna mtu aliniambia wazungu hata kama siku hizi wameacha kusali lakini bado wanatenda mapenzi ya Mungu vema. Na akasema usikute wazungu wengi wakaiona mbingu kuliko waafrika, waafrika ambao ni watu wa kanisa au misikiti sana.
 
Yaani nikifikiria msaada uliotolewa na raia wa kawaida kabisa wa Kimarekani baada ya kuona ajali ya watoto kule Arusha, nsishia kumshukuru Mungu tu.

Ajali ile imetikisa mioyo ya watu duniani, na wale wenye mioyo mikunjufu wamesaidia karibia Tshs 670million kuokoa watoto watatu na kuwapeleka kwao Marekani ili wapate matibabu yanayofaa.

Tuondoe siasa, lakini moyo kama huu hupata baraka za Mungu.

God Bless America.

Yes God Bless America, God Bless Israel.

Actually hawakuwa raia wa kawaida wa Marekani. Wale ni Wamissionary. Mmoja wao alikuwa kijana wa Billy Graham.

Mungu Ibariki America, Mungu Ibariki Israel, Mungu wabariki watumishi wako duniani kote.
 
Yes God Bless America, God Bless Israel.

Actually hawakuwa raia wa kawaida wa Marekani. Wale ni Wamissionary. Mmoja wao alikuwa kijana wa Billy Graham.

Mungu Ibariki America, Mungu Ibariki Israel, Mungu wabariki watumishi wako duniani kote.
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
Wametoa kwa roho wa Bwana, kushukuru vile vile kunampendeza Bwana.

Kubeza roho hiyo ni machukizo na kujipalia makaa ya moto.
 
Back
Top Bottom