Mrisho Gambo awajibu wanauliza pesa ya rambirambi adai hayumbishwi la msingi tumewazika na wanatibiw

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, amesema kuna watu wanatumia mitandao ya kijamii wakiwa na lengo kuu lakutaka kuyumbisha lengo la serikali la kuwahudumia majeruhi wa ajali ya gari ya shule ya Lucky Vicent ambao leo wamesafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu.




gAMBO.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo

Mrisho Gambo akiongea uwanja wa ndege wa KIA amewataka watu wa Arusha na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuungana na kuwa wamoja katika lengo hilo ili kuhakikisha watoto hao wanapata huduma nzuri huko waendako na kurudi nchini salama ili baadaye waje kutumikia taifa lao la Tanzania.

"Tunauhakika huko wanakokwenda watatibiwa vizuri na kurudi salama Tanzania ili kulitumia nchi yao, hili tukio siyo tukio la kisiasa tusikubali mtu yoyote kwa sababu yoyote atutoe kwenye lengo la msingi la kutoa huduma kwa watu wetu, wakati sisi tunahangaika kwenda kuzika watu, tunahangaika na kuhakikisha watu wanasafiri kwenda kutibiwa kuna watu wengine wanatumia mitandao ya jamii kutaka kupoteza focus ya serikali na watu wengine kuhakikisha kwamba wahusika wetu wanapata matibabu bora na wanabaki salama kwa hiyo nitumie nafasi hiii kuwaomba watu wa Arusha na watanzania wote tuendelee kuungana na kuwa wamoja kuhakikisha kwamba tunaikamilisha kazi hii ya Mungu" alisema Gambo

Ila tuweke rekodi sawa:
Ndege hiyo imetolewa na madaktari waliokuwa hapa nchini kwa ajili ya utalii ndio wametoa msaada wa kuwapeleka marekani kwa matibabu na sio serikali ya Tanzania hawajachangia chocote kama fedha

Serikali imechangia kutafta pasport za kusafilia tu tusidanganywe na chochote na wala rambirambi wa nchi hii

Kwa ushahidi huu hapa Iowan missionaries help to save 3 kids in Tanzania bus crash

Ushahidi mwingine huu
UPDATE! From Jordan Reed fb page

We have finally gotten transportation arranged for these precious children to get to the US! ❤ thanks for the faithful love and prayers from all of you. Please share this link and donate if you can. Even the tiniest amount helps. Much love ❤

www.gofundme.com/tanzaniabuscrashsurvivors

To learn more about STEMM and our mission, check out the website at www.stemm.org

Friends! Please read and share, share, share!! We all know how the internet works when things go viral. Children's lives are at stake

Last Saturday, May 6, an indescribable tragedy occurred in northern Tanzania when 33 7th grade school children, 2 teachers and 1 bus driver were killed in a horrific bus accident. Our team of STEMM Missionaries were miraculously the third vehicle on the site. Through the heroic triage and first responder efforts of our team, 3 badly injured children were salvaged from the wreckage. We have arranged with Mercy Hospital in Sioux City, Iowa to receive and restore these children. Tanzanian government officials are expectantly facilitating their transfer to the United States. Please join with us in prayer as we anticipate the day of this medical evacuation quickly approaching for these beautiful surviving children, Wilson, Sadia & Doreen. We pray to be able to restore these children as a legacy to their fallen classmates and friends and a grieving yet beautiful country.
Please share this post and support us financially if you're able, to help us gain support for transferring these beautiful children. God Bless!

www.gofundme.com/tanzaniabuscrashsurvivors

1_1.jpg
 
Huyo mjinga kwanza kaenda hapo air port kufanya nini? Wamarekani wao ndiyo waiojitolea kugharamia kila kitu. Gambo asilete vihoja hapa. Mzee wa rambirambi kumbe ile mic uliyokuwa unatumia pale uwanjani uliikodi kwa kutumia rambirambi? Haya bwana
 
Serikali zilizofirisika Kiuongozi, Kifikra, Kimtazamo, Kimawazo ndizo zinazokula Rambirambi za watu.

Watoto wanatibiwa kwa msaada wa shirika lililoleta ndege yake lakini wasio na haya (Gambo na Viongozi wenzake) wanakwenda kuongea upumbavu tu pale.

Ila haya madudu ya serikali hii ya JPM iwe fundisho kwetu sote kama tunataka kufanikiwa kimaisha au kiuongozi.

It is better to be prepared for an opportunity and not have one than to have one and not be prepared.” – Whitney Young, Jr.

Ni wazi JPM hakujiandaa na alifikiri kuongoza nchi ni kama kujenga barabara na wakandarasi.

The man is absolute a Joke, Tanzania tumepata hasara.
 
Serikali imechangia kutafta pasport za kusafilia tu tusidanganywe na chochote na wala rambirambi wa nchi hii

Na msibani hadi uwanjani hawakutumia pesa?

Na unadai wamekula kiasi gani?
tushushie mahesabu basi tuyaone. Jinsi pesa zilivyotumika...hamuwezi kusema kwamba wamekula ila hamna proof. Hata mama Samia alisema kwamba watashilikiana nao..sasa umeuliza wameshiriki kivipi haswa?

Ila wengi mshushuko huo mmeupata...wangekufa ndugu zenu ndio mngejua uchungu... kama ingetokea waupinzani wanataka kudanganya watu kutumia misiba inayowahusu
 
Back
Top Bottom