tamu 3
Member
- Dec 11, 2024
- 88
- 216
✍️Mwenyekiti nimegundua kuwa ukiondoa ngono (sex) kwenye mahusiano mengi ya siku hizi, utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana mchango mwingine wowote kwenye mahusiano, totally nothing. Kitu pekee wanawake wengi wanachochangia katika mahusiano yao ni ngono na ngono pekee (sex and only sex)....🤔🤔
Aidha Mwenyekiti nimegundua pia kuwa ukiondoa PESA kwenye mahusiano mengi, utagundua kuwa wengi wa wanawake hawaoni umuhimu wa kuwa na mwanaume kama hana PESA au hawapi PESA. Wanawake wengi wanataka kuwa na mahusiano na wanaume ili wawape pesa kwa gharama ya wao kuwapa wanaume ngono. Kwa lugha nyepesi wanawake wengi wanauza ngono, wanauza miili yao, wanatoa miili yao kama kete ya kunasa pesa za wanaume, lakini wao hakuna thamani yoyote wanayomuongezea mwanaume zaidi ya ngono.
Mwanamke ambaye hawezi kukupa changamoto chanya, mwanamke ambaye anaamini kuwa kuzaliwa mwanamke ni sawa na kuzaliwa mlemavu anayetakiwa kuombaomba na kupewa tu, yeye hana cha kutoa zaidi ya ngono. Mwanamke ambaye anatarajia mwanaume ampe mbingu hapa hapa duniani lakini yeye kitu pekee anachoweza kukupa ni ngono tu. Mwanamke anayefikiri kuwa pesa za mwanaume ni kwa ajili yake kwa kima cha uchi wake hao ni wanawake mizigo na laana sumaka. Mwanaume ukiwaendekeza wataharibu na kuzika hatma yako.
Mwanamke ambaye hawezi hata kukununulia vocha ya muda wa maongezi achilia mbali kukununulia chakula cha mchana (lunch). Mwanamke ambaye hawezi kukukopesha au kukuazima pesa pale ambapo umeyumba kiuchumi (economic crisis). Hii ni aina ya wanawake ambao ndio wamejaa sokoni na unatakiwa kuwaepuka.
Mwanamke kama unawachukia wanaume ambao hawana PESA, basi na wewe hakikisha usiwe mwanamke ambaye hana PESA. Ohhhh yes, If you hate financially broke men, then don’t be a financially broke woman. Kama unahitaji mwanaume mwenye gari, hakikisha pia wewe unatuonesha ulipopaki gari lako. Sio unapaki makalio na hips alafu unataka mwanaume mwenye gari.
Ndugu zangu wanaume, ingia katika mahusiano na mwanamke bora. Chukua mwanamke ambaye ana akili, ambaye ni beauty with brain. Usikimbilie tu mwanamke kwa kuwa umeona ana maziwa makubwa, makalio makubwa na hips kubwa.
Chukua mwanamke ambaye yuko tayari kukusukuma kuyafikia malengo yenu