Issue sio kutoa hela,tatizo la wanawake wa siku hizi wanaonekana wanapenda hela sababu hawajui kipi ni basic needs na kipi ni luxury needs na siku zinavyo jongea wanalazimisha luxury needs ziwe basics needs. Hamna mwanaume anayeshimdwa kumpatia mpenzi wake basics needs. Wanawake wengi wao wana vikoba, michezo majina matatu, mikopo, kila sherehe anataka achange ,nguo mpya bado kitunzana na siku hizi wanachangishana mpaka kwenye birthday,kwa kifupi wanapresha za kujitakia na wengine hufikia kipindi mpaka kuingiliwa kinyume na maumbile ili tu apate hela.Ndio maana thamani yao wameiweka kwenye vitu/hela.
So ukiangalia manaume mwenye uchumi wa kawaida, hawezi na ndio wapo wengi zaidi ya asilimia sabini, ndio maana wengi wao wanaangukia kwa wanaume za watu au wapo tayari kujibanza kwa mwanamme mmoja mwenye uchumi mzuri, huku jamaa akiendelea kuwapanga,huku akiwazalisha anawaacha.