secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Vindu vichenjaga.....Sahivi shule moja inapiga 1.7 ambazo miaka ile nchi nzima haipati.
Sent using Jamii Forums mobile app
mambo hubadilika...
Vindu vichenjaga.....Sahivi shule moja inapiga 1.7 ambazo miaka ile nchi nzima haipati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa hivi madogo wameshushiwa kidogo , wakati mimi nasoma, grades za ufaulu ZilikuaMkuu, miaka ya nyuma NECTA walijuwa hawana grade za marks, mfano sasahivi inajulika kama ifuatavyo
A - 75 -100
B - 74 - 55
C - 54 - 45
Nk
Zamani hii ilikuwa inabadilika sana kutokana na ufaulu & nafasi za kujiunga na elimu ya A-level.
Hasa walikuwa wanalenga nafasi wala sio ufaulu, unakuta wanasema mwaka huu tunanafasi 1000 za kujiunga A-level, kwaiyo kama watu wamefaulu sana watajaribu ku-change grade za ufaulu inaweza kuwa labda
A - 95-100
B- 94-85
C- 84-50
Nk
Hapo watakuwa wamepata hizo nafasi 1000.
Grade zilizokuwa zinatumika mashuleni sio sawa na zile za necta, hata walimu walikuwa hawana uhakika
Pia watu wakifeli sana wana shusha sana hadi utakuta labda A 70 -100.
Lakini sasahivi Grade zinajulikana kabisa hazibadilishwi mara kwa mara. Maana shule ni nyingi sana.
Pia madogo wa sasa wana akili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza jifunze matumizi ya herufi l na r, umechapia mno kwenye uandishi[emoji853] Tukiachana na hayo, binafsi matokeo ya hizi shule huwa sina imani nayo sana, nafikir kuna udanganyifu mwingi kwa malengo ya kibiashara hasa wakishirikiana na watu ambao siyo waaminifu kutoka huko baraza la mitihani, kwanin sasa hawa wanafunz wakienda advance huwa wanapotea??? Kiingereza kingi tu ila kichwani hakuna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuamini kwa asilimia 60 ulichoandika, maana kipindi cha 2000yr kurudu nyuma idadi ya shule ilikuwa ya wastani na hakukuwa na shida ya shule, nakumbuka wazazi wengi 1998 walianza kuwatoa watoto uganda kuwapeleka shule za hapa TZ.Miaka ya nyuma kulikua na matatizo / changamoto nyingi sana ndiomana ufaulu ulikua mdogo ie ukosefu wa vitendea kazi na ukosofu wa shule za kutosha ili kuchukua watoto wanaotoka darasa la 7 na kidato cha 4.
Kuanzia miaka ya 2000's mambo yalianza kulegea nyenzo za kufundishia na kujisomea zipo za kutosha kwanini tufeli ?
UfuauluKatika matokeo ya form 4 2019/2020 sote tumeona Saint Francs watoto 57 wamepata div. Point 7.kati ya wanafunzi 91. Ni jambo jema kuona jinsi vijana wanavyosema kwa bidii na kufanikiwa kufauru vizuri. Miaka ya nyuma kidogo ilikua nadra sn kwa mwanafunzi kupata div. ya saba. Na ikitokea ingeweza kujirudia baada ya miaka kadhaa. Siku hizi si ajabu kwa wanafunzi kupata ufauru wa div. One pointi 7. kwa zaidi ya nusu ya darasa hasa kwa shule za Mission. Watu wengi wanahoji je ufauru huu umetokana na ufundishaji mzuri Au mitihani imelegezwa? Je ufauru huu unaendana na uwezo binafsi wa wanafunzi au wanakalilishwa tu? Nini thamani ya ufauru huu ukilinganisha na miaka ya nyuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza jifunze matumizi ya herufi l na r, umechapia mno kwenye uandishi[emoji853] Tukiachana na hayo, binafsi matokeo ya hizi shule huwa sina imani nayo sana, nafikir kuna udanganyifu mwingi kwa malengo ya kibiashara hasa wakishirikiana na watu ambao siyo waaminifu kutoka huko baraza la mitihani, kwanin sasa hawa wanafunz wakienda advance huwa wanapotea??? Kiingereza kingi tu ila kichwani hakuna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, miaka ya nyuma NECTA walijuwa hawana grade za marks, mfano sasahivi inajulika kama ifuatavyo
A - 75 -100
B - 74 - 55
C - 54 - 45
Nk
Zamani hii ilikuwa inabadilika sana kutokana na ufaulu & nafasi za kujiunga na elimu ya A-level.
Hasa walikuwa wanalenga nafasi wala sio ufaulu, unakuta wanasema mwaka huu tunanafasi 1000 za kujiunga A-level, kwaiyo kama watu wamefaulu sana watajaribu ku-change grade za ufaulu inaweza kuwa labda
A - 95-100
B- 94-85
C- 84-50
Nk
Hapo watakuwa wamepata hizo nafasi 1000.
Grade zilizokuwa zinatumika mashuleni sio sawa na zile za necta, hata walimu walikuwa hawana uhakika
Pia watu wakifeli sana wana shusha sana hadi utakuta labda A 70 -100.
Lakini sasahivi Grade zinajulikana kabisa hazibadilishwi mara kwa mara. Maana shule ni nyingi sana.
Pia madogo wa sasa wana akili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa hivi madogo wameshushiwa kidogo , wakati mimi nasoma, grades za ufaulu Zilikua
A - 81-100
B - 61- 80
C - 41-60
D-31-40
Kwa kuuliza swali nimemjibu, na jibu ni kwamba haijalegezwa, otherwise wale wa madrassa wasingezungusha, huoni kama nimejibu hapo?Ni wapi ambapo wewe umejibu hoja?
Swali ni kwamba je ni ufundishaji mzuri au mitihani imelegezwa?
Ulivyo na chuki ulikimbilia kuuliza badala ya kujibu hoja "Kama mitihani imelegezwa mbona shule za Islamic zinazungusha mabuyu? Au huwa wanamitihani yao tofauti migumu zaidi?"
Miaka ya nyuma kila kitu kilikuwa nyuma mpaka akili ndio maana mlifeli 😂😂 hongereni wote mliofaulu 👏👏👏Nini thamani ya ufauru huu ukilinganisha na miaka ya nyuma?
Mkuu kwanza jifunze matumizi ya herufi l na r, umechapia mno kwenye uandishi[emoji853] Tukiachana na hayo, binafsi matokeo ya hizi shule huwa sina imani nayo sana, nafikir kuna udanganyifu mwingi kwa malengo ya kibiashara hasa wakishirikiana na watu ambao siyo waaminifu kutoka huko baraza la mitihani, kwanin sasa hawa wanafunz wakienda advance huwa wanapotea??? Kiingereza kingi tu ila kichwani hakuna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa Afrika one ya 7 zipo Nigeria wengine tuna zuga tu.Nigeria wanaelimu ya ukweli maana maisha yao yana reflect elimu waliopata,sisi tunakaririsha watoto maswali wanapata one wakimaliza chuo hakuna cha maana wanachobuni.Watu wenye akili hubuni mambo.Katika matokeo ya form 4 2019/2020 sote tumeona Saint Francs watoto 57 wamepata div. Point 7.kati ya wanafunzi 91. Ni jambo jema kuona jinsi vijana wanavyosema kwa bidii na kufanikiwa kufauru vizuri. Miaka ya nyuma kidogo ilikua nadra sn kwa mwanafunzi kupata div. ya saba. Na ikitokea ingeweza kujirudia baada ya miaka kadhaa. Siku hizi si ajabu kwa wanafunzi kupata ufauru wa div. One pointi 7. kwa zaidi ya nusu ya darasa hasa kwa shule za Mission. Watu wengi wanahoji je ufauru huu umetokana na ufundishaji mzuri Au mitihani imelegezwa? Je ufauru huu unaendana na uwezo binafsi wa wanafunzi au wanakalilishwa tu? Nini thamani ya ufauru huu ukilinganisha na miaka ya nyuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mmepata one za 7 inaashiria mna akili sana.Sasa kwa mini hamjatokomeza magonjwa kwa kugundua tiba za magonjwa.Mfano homa ya nguruwe inaua nguruwe balaa lakini hakuna dawa na hali tuna watu mna akili sana, mnashindwa wapi ambapo wachina wanaweza au mi sielewi maana ya akili nyingi.Sema wewe hukupata
Sisi tuliosoma shule bora tulipata,
Wewe vipi? Miaka ya 1999,2000 Mzumbe watu walifaulu kuliko St Francis
Bi dada anachuki Sana na uislam chunguza kila mada lazma aoneshe chuki yaani hata Uzi usie hitaji udini ataonesha udiniDuuuh una jicho la chuki, mkono wa chuki, akili za chuki, mpaka moyo na mwili wa chuki, kwa kifupi unanuka chuki
Mpotezee mdini huyoNi wapi ambapo wewe umejibu hoja?