Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,416
Nakupa moja tu.Katika nchi za kutolea mfano kwa impact ya elimu yao ukaiona NIGERIA kwa Africa !!!..
Nigeria ni population, kelele na uthubutu wao, other than that hawana vitu solid vya kuwashusha wasomi wa Tanzania.
Ukirudi Bongo, wasomi hawatumiki. Kila kitu ni siasa yaani leo engineer anafanya kazi yake ila mtu aliyepata chance kwa ukada wake anamdhalilisha.
Wasomi hawaheshimiki na hata wakiwekwa kwenye system bado wanamezwa na wenye "EXPERIENCE" ya toka enzi za Nyerere.
Vipaji halisi havipewi nafasi wala kuendelezwa. Vinashushwa au kutolewa nje ya system ili tu kuondoa "TISHIO" la kuchukua chances za watu wasio competent
Kwa mfumo kama huu unamlaumu MSOMI kwa kosa lipi
Innovators wa jun2019
1.A Nigerian innovatived a software which translate more than 2000 local African language.
2.Co inventor of real robot game is a Nigerian less than 25 years old.(rich robotic company).
Nitajie innovation zetu kwa mwaka 2019, ambozo in top 10 in Africa.Kisha ntakubali hizo 1.7 ni za mageneus.