Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,926
- 4,110
Katika matokeo ya form 4 2019/2020 sote tumeona Saint Francs watoto 57 wamepata div. Point 7 kati ya wanafunzi 91. Ni jambo jema kuona jinsi vijana wanavyosema kwa bidii na kufanikiwa kufaulu vizuri.
Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa nadra sana kwa mwanafunzi kupata div ya saba,na ikitokea ingeweza kujirudia baada ya miaka kadhaa.
Siku hizi si ajabu kwa wanafunzi kupata ufaulu wa div. One pointi 7 kwa zaidi ya nusu ya darasa hasa kwa shule za Mission.
Watu wengi wanahoji je ufaulu huu umetokana na ufundishaji mzuri Au mitihani imelegezwa?
Je, ufaulu huu unaendana na uwezo binafsi wa wanafunzi au wanakaririshwa tu?
Nini thamani ya ufaulu huu ukilinganisha na miaka ya nyuma?