Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Alijitenga sana na wale Ndiyooo Ndiyooo wa lumumba
Alijitenga sana na wale Ndiyooo Ndiyooo wa lumumba
Yule yupo kwao Mwibara anauza supu ya kamongoYule mwanaharakati huru amepotelea wapi?
AmedeediMkuu fafanua thadei amepumzika u mean ni thadei ni mwenzake??!!
Najua ni mwandika namba ya simu, najua ni chawa fulani wa CCM. Ila akili zake na za Mwashambwa haviendani. Unajua mtu anaweza kuwa kinyume na msimamo wako ila at least ana akili za kudanganya na kutetea hoja angalau kwa mbali analeta mashiko.Mkuu
Ukifa utasifiwa..
Umeanza lini kumfuatilia jamaa thadei ole mushi
Falsafa ya kuandika namba ya simu unajua jamaa ni muasisi japo Kuna wengi wali ianzisha
R.I.P FATHER KARUGENDO
Unashangaa nini mzee mana wote ni waja wa mwenyezi MunguMmh jamani thadei amekuwa MWENDA ZAKE tyr
Watakufa kifo kibaya Sana ndiyo maana wengine wanapata mateso ya kuwa na masaburi makubwaKafariki kuamkia leo,watesi wake nadhani sasa hivi wanagonga glass za mvinyo.
Mwosha mbwa ni chumia tumbo mpaka anajiita CHAWA?Acha kufananisha bulldozer na spatula. Lucas Mwashambwa hawezi kuwa kama Thadei Ole Mushi, hawakaribiani.
Na hilo ndiyo lilimuingiza kwenye rada za watesi wake ambao hata uwezo wa kujenga hoja hawana.Jamaa alikuwa anajua kujenga hoja ,na kupinga wazi wazi bila ya kupeoesa macho , ni miongoni mwa vijana wachache waliokuwa na uzalendo na upeo wa mambo
Ndani ya chama kuna mambo mengi sanaInaelekea hakupewa support ya kutosha kwenye matibabu
Ova
Umeonaaaaaaeeeeee?Kazi ya mwenezi mpya inaendelea
Kumbe alikuwa amezungukwa na mazimuAliniudhi kudhihaki waliopigwa risasi,kutekwa na kupotezwa, akasahau kwamba sheitwan Hanaga RAFIKI![]()
Ina maana ni homa ya kununua dukani?Jamaa alikuwa chini ya vitisho ndio maana alikana kabisa kutekwa na hatimae kuumwa.


Mwosha Mbwa ni kilaza tuAnamaanisha kuwa Lucas mwashambwa huyu ni chawa hana fikra huru ndani ya kichwa chake,kazi yake ni kusifia tuu tofauti na Ole Mushi alikuwa na fikra huru penye kusifia anasifia na kwenye kukosoa anakosoa.
Wachagha wa kizazi hiki wamekuwa wa hovyo.Gilbert Massawe unafikiri wewe utaishi milele? Hizo hela zitakutesa sana
Leo Gilbert Masawe atakunywa hadi aliwe kibogaKafariki kuamkia leo,watesi wake nadhani sasa hivi wanagonga glass za mvinyo.
Nimekupata 🙏🙏Najua ni mwandika namba ya simu, najua ni chawa fulani wa CCM. Ila akili zake na za Mwashambwa haviendani. Unajua mtu anaweza kuwa kinyume na msimamo wako ila at least ana akili za kudanganya na kutetea hoja angalau kwa mbali analeta mashiko.
Hata kwenye vita huwezi waambia allies kwamba Nazi Germany ilikuwa na jeshi bovu wakakuelewa, hata majenerali wa Ujerumani walisifiwa na kuheshimiwa ingawa ni maadui. Upande mwingine, Waitaliano inakubalika walikuwa na jeshi yeboyebo.
Naye amepitiwa shwaaa,Aliniudhi kudhihaki waliopigwa risasi,kutekwa na kupotezwa, akasahau kwamba sheitwan Hanaga RAFIKI![]()



Huyu mtu ni nani na kwanini atajwe yeye? Wengine mbumbumbu wa haya mambo ya ukada na ujuajiGilbert Massawe unafikiri wewe utaishi milele? Hizo hela zitakutesa sana