kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,333
- 6,454
Thubutu!Wangeishi naye tu mbona wengine wamebaki nao lupango?
cc😀elta Forces -kwa majadiliano zaidi ya kiudugu.
Thubutu!Wangeishi naye tu mbona wengine wamebaki nao lupango?
cc😀elta Forces -kwa majadiliano zaidi ya kiudugu.
Unafikiri kuwa Maduro mwingine ni rahisi.Taarifa ya hivi punde...
Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo.
Taarifa zaidi zitawajia kuhusu details za kuachiwa kwake huru
View attachment 3524678
Hii ya Maduro ilinikumbusha "who are you" ya Samia.Ila Samia bwana kichwa maji sana. Wenzake wana hadi Nudes na ma meli ya kutuma ma scud, ma military bases hapo Kenya na Djibouti na kwingine kibao.Hivyo wanaweza mbeba Samia wakitokea tu hapo Manda Kenya wakampeleka mpaka New York bila viza.Wameona kilichomtokea Maduro wameanza kujamba 😂.
Yaanii angejuta milele na milele Amina...Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Twende naye taratibu maana hata sasa hajui kuti gani amekalia😀😀Pascal Mayalla anajua nini? Ulishamuona Mahakamani hata siku moja?
Ilikua dharura. Hakimu kaitwa toka huko mapumziko ya weekendMahakama zinafanya kazi Jumamosi?
Ingekuwa "sisi wahaini" wenye uraia wa "inji" hii,hakimu angeambiwa akimbie akajifiche ili tusitoke kama watendaji wa serikali wanavyoambiwaga wawakimbie wanaorudisha fomu za kugombea nafasi mbalimbali.Ilikua dharura. Hakimu kaitwa toka huko mapumziko ya weekend
Wangeimba mapambio sio?Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
She is everything, utasikia pesa ya mama, barabara ya mama kwanini akwepe hii ishu, mama ndiye alitoa order ya kukamatwa.Lakini hii taarifa yako umeongeza chumvi sio kila kitu asingiziwe Rais bwa a
We mpumbavu mburukengePole kwa kuumia sana kwa Kuachiwa kwake Thadei Kweka.
Ishi dunia yako, sisi tunaiona na kuiishi dunia ya wanaojitambua
Daah nchi zao zina viongozi wazalendo wenye akili na kujitambua.Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Pascal wewe ni njaa tuu.. Chawa mzee..Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Andiko lako hili limeprove hoja yanguDaah nchi zao zina viongozi wazalendo wenye akili na kujitambua.
Sema Mtanzania mwenye asili ya Marekani bana ili Trump aje 😁Mmarekani mwenye asili ya Tanzania